Kwanini Mpendazoe hakupewa mafao Zitto apewe?

Kwanini Mpendazoe hakupewa mafao Zitto apewe?

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,278
Reaction score
8,868
Naombeni tutafakari ni kwanini Mpendazoe hakupewa mafao yake ya ubunge wakati ule,Lakini Zitto anapewa?

Hili si jambo la kupuuza kwa ustawi wa Demokrasia yetu na sheria za nchi.

Ni vema tujadili kujua kama bunge letu lina upendeleo wa sheria au kanuni?

Tujiulize angekuwa Lissu Mnyika,Wenje au Mnyaa wangepewa?

*************** Majibu kutoka kwa Zitto ****************

Naomba niweke sawa kidogo tu kuondoa upotoshaji wa makusudi. Kwanza mimi nasikia tu kwenye vyombo vya habari kuhusu suala la mafao. Halinisumbui. Nawakumbusha;

  1. Toka mwaka 2011 mwezi Juni niliacha kupokea posho za vikao. Kwa mwaka posho za vikao ni takribani shs 24 milioni.
  2. Wabunge hupewa msamaha wa kodi kwenye magari wanayonunua. Kwa kuwa napinga misamaha ya kodi nilikataa na mpaka namaliza ubunge sijatumia msamaha huo wa kodi.

Kwa hiyo suala la fedha sio suala la msingi kabisa kwangu kwenye maamuzi yangu.

Fact: Mpendazoe alilipwa kiinua mgongo chake kwa muda wa miezi aliyotumikia Bunge. Sio kweli kwamba hakupewa kiinua mgongo chake. Alipewa na tunaweza kuthibitisha
 
Last edited by a moderator:
Mpendazoye alikuwa agaist CCM,Zitto ni against CHADEMA.

Kwa hivyo basi,huo ni mtazamo tu,kuna weza kuwepo sababu nyinginezo za kikanuni.
 
Naombeni tutafakari ni kwa nini Mpendazoe hakupewa mafao yake na bunge wakati ule,Lakini zitto anapewa?
Hili si jambo la kupuuza kwa usitawi wa demokrasia yetu na sheria za nchi,ni vema tujadili kujuwa kama bunge letu lina upendeleo wa sheria.
Nimejiuliza angekuwa Lissu angepewa?

Kibo 10 Zitto ni mwnaccm mtiifu lazima watamlipa mafao yake yote angekuwa ni tindu lisu au mkosamali amefukuzwa bungeni asingelipwa mafao yake lkn kwa kuwa ni mwana CCM mwenzao watamlipa.
 
Mwana act yeyote ajibu hoja hii ya kibo 10 kwanini mpendazoe akulipwa mafao yake lkn zito kalipwa mafao yake yote?
 
ukiwa rafiki wa CCM hata ukiachika kwenye ndoa yako una mafao kwenye chama ila ukiwa mwiba kwa CCM unaweza kuitwa mkimbizi licha ya pacha wako wa tumbo moja kuendelea kuwa raia!
 
Mjomba hilo lipo wazi kua Zzk ni kibaraka no 1 wa Ccm mbunge ukifukuzwa au kuacha ubunge hupewi kitu ila serikali hii awam ya 4 imeahid kumlipa msalit sijui wametumia kanuni zipi
 
Hizo ndiyo double standards za ma-CCM, halafu wajinga wajinga wanaimba kwamba nchi hii inafuata utawala wa SHERIA! Tema mate chini pyuuuuuuuuuuu.
 
Mpendazoye alikuwa agaist CCM,Zitto ni against CDM.
Kwa hivyo basi,huo ni mtazamo tu,kuna weza kuwepo sababu nyinginezo za kikanuni

Kwa hiyo kanuni na sheria za bunge zimevunjwa kwa sababu yawezekana zitto alitekeleza kazi aliyotumwa na Ccm kwa ustadi kama wachambuzi wengi wa kisiasa wanavyosema?
 
Naombeni tutafakari ni kwa nini Mpendazoe hakupewa mafao yake na bunge wakati ule,Lakini zitto anapewa?
Hili si jambo la kupuuza kwa usitawi wa demokrasia yetu na sheria za nchi,ni vema tujadili kujuwa kama bunge letu lina upendeleo wa sheria.
Nimejiuliza angekuwa Lissu angepewa?

Naomba niweke sawa kidogo tu kuondoa upotoshaji wa makusudi. Kwanza mimi nasikia tu kwenye vyombo vya habari kuhusu suala la mafao. Halinisumbui. Nawakumbusha;

  1. Toka mwaka 2011 mwezi Juni niliacha kupokea posho za vikao. Kwa mwaka posho za vikao ni takribani shs 24 milioni.
  2. Wabunge hupewa msamaha wa kodi kwenye magari wanayonunua. Kwa kuwa napinga misamaha ya kodi nilikataa na mpaka namaliza ubunge sijatumia msamaha huo wa kodi.

Kwa hiyo suala la fedha sio suala la msingi kabisa kwangu kwenye maamuzi yangu.

Fact: Mpendazoe alilipwa kiinua mgongo chake kwa muda wa miezi aliyotumikia Bunge. Sio kweli kwamba hakupewa kiinua mgongo chake. Alipewa na tunaweza kuthibitisha
 
ukiwa rafiki wa CCM hata ukiachika kwenye ndoa yako una mafao kwenye chama ila ukiwa mwiba kwa CCM unaweza kuitwa mkimbizi licha ya pacha wako wa tumbo moja kuendelea kuwa raia!

Ukita kuiba au kuuza madawa ya kulevya jiunge ccm utapata pesa nyingi sana kuna baadhi ya watu huwa wanasema ukiunga mkono vyama vya upinzani utafunguliwa kesi nyingi za uongo utatumiwa tar na kadhalika je ni kweli?
 
Naombeni tutafakari ni kwa nini Mpendazoe hakupewa mafao yake ya ubunge wakati ule,Lakini zitto anapewa?
Hili si jambo la kupuuza kwa usitawi wa demokrasia yetu na sheria za nchi,ni vema tujadili kujuwa kama bunge letu lina upendeleo wa sheria au kanuni?
Tujiulize angekuwa Lissu mnyika,Wenje au Mnyaa wangepewa?

Hili unalisema ww sio mpenda zoe ,ilitulijadili kwa haki na unyeti wake ungetupa ushahidi wa kutolipwa kwa mpendazoe.
 
Naombeni tutafakari ni kwa nini Mpendazoe hakupewa mafao yake ya ubunge wakati ule,Lakini zitto anapewa?
Hili si jambo la kupuuza kwa usitawi wa demokrasia yetu na sheria za nchi,ni vema tujadili kujuwa kama bunge letu lina upendeleo wa sheria au kanuni?
Tujiulize angekuwa Lissu mnyika,Wenje au Mnyaa wangepewa?

Inadaiwa Zitto alitaka ajiunge na ACT-Kigoma tangu mwaka jana mwezi wa 9,na huu ndo unaweza ukawa mwezi ambao Zzk alichukua kadi ya chama chake that y ukitazama kwenye picha kadi yake unaonekana si mpya kabisa.

Nikirudi kwenye hoja ya msingi inadaiwa Zzk alishauriwa na spika wa Bunge mama Anna Makinda kwamba akiachana na CHADEMA na kujiunga na chama alichokiasisi cha ACT-Kigoma,asingepata stahiki zake kibunge,akashauriwa kwamba anaweza kufikia maamuzi hayo ikiwa imebakia miezi 3-4 kabla ya bunge halijavunjwa yaani mwezi wa 7,that y Zzk aliufyata mpaka hapo juzi baada ya kuahikikishiwa kulipwa mafao yake yote ya kibunge,ndo akasepa,(hapa alijari tumbo lake zaidi).

Na hii pia itaihusu familia ya Komba ,watalipwa stahiki zote ambazo marehemu kapten Komba(R.I.P)angelipwa kama angefika mwezi wa 7 bunge litakapovunjwa.

Bt kwa Mpendazoe sijui ni lini aliacha kiti chake bt pia kujiunga kwake na CDM kulimkosti,Zzk ni kibaraka wao,that y wanambeba,shetani hawezi watupa mawakala wao.
 
Zitto

Tuthibitishie kama kweli Mpendazoe alipewa kiinua mgongo kwa muda wa miezi aliyoitumikia bungeni
 
Last edited by a moderator:
Zitto

Mkuu wewe unajipambanua kama mjamaa lakini mbona unatembelea gari ya kifahari aina ya hummer huku watu wa jamii yako hawana
huduma ya maji safi na salama.?

Inawezekana kwamba huielewi dhana yenyewe ya ujamaa au kwa makusudi tu ameamua kuzikopesha akili zake kwa wajinga.

Pili ni kweli kwamba "pesa kwako sio tatizo" ndio maana umeweza kuagiza hummer na kulilipia ushuru bila kutaka msamaha....... hivi si wewe ndio uliohitimu UDSM 2004 tena kutoka familia masikini ?

Mkuu ndio maana zile tuhuma za wewe kupokea pesa (mlungula) kutoka "kuleeee" naziamini.

Tatu nyie mnajipambanua kuwa mnapenda DEMOKRASIA lakini mbona mmemfukuza mwenyekiti wenu wa taifa mzee limbu?? Au kufukuzwa chadema sio DEMOKRASIA lakini kufukuzwa ACTor's Ndio DEMOKRASIA.

Mwisho lakini sio kwa umuhimu nikushauri tu mitandao ya kijamii haitakisaidia chama chako toka nenda kapige mzigo huko kijijini.

I stand to be corrected

professor kilaza
 
Last edited by a moderator:
Zitto

Unafanyaga pia biashara gani ili uweze kujikimu Mheshimiwa!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom