Kwanini Mozambique tunaiita Msumbiji?

Kwanini Mozambique tunaiita Msumbiji?

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
22,312
Reaction score
55,971
Niliwahi kuwa Mozambique kule kuna watu walishangaa nilipowaambia kuwa nchi yao tunaiita Msumbiji japo kuna wamakonde wa Msumbiji wale wa mpakani na Tanzania wanalijua jina hili ila majority hawalijui wao wanajua Mozambique.

Sasa hili jina Msumbiji lilitoka wapi?

Misri - Egypty

Marekani - USA

yalitoka wapi?
 
Watu wa United states of america wanajua kuwa nchi yao inaitwa Marekani?
 
Umesahau Malaysia tunawaita .............
 
niliwahi kuwa mozambique kule kuna watu walishangaa nilipowaambia kuwa nchi yao tunaiita msumbiji japo kuna wamakonde wa msumbiji wale wa mpakani na tanzania wanalijua jina hili ila majority hawalijui wao wanajua mozambique
sasa hili jina msumbiji lilitoka wapi
na misri -egypty
marekani-usa
yalitoka wapi

Mbona haya mambo mengine yanaturudisha chekechea wakati tunafanya PHD?

unajuwa kwamba wafaransa nchi yetu wanaiita TANZANIE?

Labda bora Ungeuliza kwa nini England na UK zote ni Uingereza ningeona mantiki yako.
 
ndio tunataka jibu sasa hapa tena wewe unayefanya PHD utatusaidia haya majina yalitoka wapi hachana na mambo ya UK hiyo kidogo inaeleweka
 
Jamani muulizaji anauliza swali asili ya neno msumbiji katika lugha ya kiswahili. Ni swali la msingi kabisa kwa yeyote anayetaka kufahamu lugha.
 
.........Na vile vile hao jamaa wa Msumbiji wanaamini Mlima Kilimanjaro upo Kenya, hata syllabus zao za shule ya msingi zinafundisha hivyo lol!!. Walinicheka kipindi fulani nilipokuwa kule nikawa najisifia kuwa Tanzania tuna Mlima mrefu kuliko yote Africa.
 
Niliwahi kuwa Mozambique kule kuna watu walishangaa nilipowaambia kuwa nchi yao tunaiita Msumbiji japo kuna wamakonde wa Msumbiji wale wa mpakani na Tanzania wanalijua jina hili ila majority hawalijui wao wanajua Mozambique.

Sasa hili jina Msumbiji lilitoka wapi?

Misri - Egypty

Marekani - USA

yalitoka wapi?

Kamaa unaona kero kuiita Msumbiji basi iite Msambinungwa!
 
Hiyo ni sifa mojawapo ya Lugha Arbitrariness and convention waliosoma language wanaelewa zaidi......
 
Niliwahi kuwa Mozambique kule kuna watu walishangaa nilipowaambia kuwa nchi yao tunaiita Msumbiji japo kuna wamakonde wa Msumbiji wale wa mpakani na Tanzania wanalijua jina hili ila majority hawalijui wao wanajua Mozambique.

Sasa hili jina Msumbiji lilitoka wapi?

Misri - Egypty

Marekani - USA

yalitoka wapi?
Misr, masr kiarabu
 
Jina la Msumbiji limetokana na Kisiwa cha Msumbiji iliyokuwa Boma na Makao makuu ya Ureno!

Msumbiji - Wikipedia, kamusi elezo huru
 
Niliwahi kuwa Mozambique kule kuna watu walishangaa nilipowaambia kuwa nchi yao tunaiita Msumbiji japo kuna wamakonde wa Msumbiji wale wa mpakani na Tanzania wanalijua jina hili ila majority hawalijui wao wanajua Mozambique.

Sasa hili jina Msumbiji lilitoka wapi?

Misri - Egypty

Marekani - USA

yalitoka wapi?

Ongeza:
Portugal = Ureno
Congo = Zaire
Britain = Uingereza
Netherlands = Uholanzi
 
Mi nafikiri Bakita waliamua tu kuiita Msumbiji maana kila lugha ina namna yake ya kutamka nchi. Hao waMozambique wanaiita Germany, ALLEMAGNE!
 
Congo hio so banaa....Zaire ni jina alibadili Mobutu lakini alipokuja Kabila ndo akalirudisha jina la Congo...mobutu alipiga marufuku majina yote ya kizungu/kikristo akataka watu wote wapaewe majina ya kikwao...ikiwemo kubadili congo kwenda zaire.
 
Back
Top Bottom