Wanaudhi bhana ndo maana. Na kama ningekuwa me, nisingerudi tenaaaaa!!! Ahaaaaa!!
u female so u wnt understand y we go back nd hit that. mind u most will just f.uck nd leave
Wanaudhi bhana ndo maana. Na kama ningekuwa me, nisingerudi tenaaaaa!!! Ahaaaaa!!
ngoja nipuruvu kama wasema kweli.
ngoja nipuruvu kama wasema kweli.
Weka time limit katika kila mtongozo then mwambie mrongozwaji hivyo!
kama wa kumwagwa utamwagwa tu!
Na kama wa kupata utapata tu..
Nalogoff..
Ni shuhudia mara nyingi tu. Mwanamke unamtongoza na kumvizia muda mrefu lakini kila ukimuomba jibu anakataa. Anasema hataki, unaamua kumpotezea, wakati umeshaanza kumsahau na kukata tamaa unakuta ndio anajileta.
Kwanini mfanye hivyo?
Ivi mnadhani me akikutongoza na kumkatisha tamaa ndio hana muda wa kujaribu kwa wengine?
Hahahahahahahaaaa! Kwa kweli mnafurahisha na kuskitisha. Nakumbuka kuna friend wangu alikaa muda mrefu bila kuwa na mpenzi, nakumbuka aliahidi kutumia wiki mbili kwa kutongoza tu, alifanya hivyo kwa kila ke aliemkalia sawa.
Wiki mbili zilipita hakumpata yoyote. Tukasema anagundu. Mwee baada ya miezi miwili akapokea maombi matatu ya kutakiwa kimapenzi na wale aliowatongoza ktk zile wiki mbili.
Au mnakuwa mmeshapigwa kibuti na hao wapenzi wenu?
Kutongoza na kuomba jibu ni ushamba sana
hivi huwezi kumsoma mwanamke ambae kakukubali japo hajatamka kuwa kakubali?
vitu vingine havihitaji shule, mnaboa na hiyo mitongozo ya kale ndo maana mnazungushwa
Hahahaaahaaaahaah sometimes nikisoma malalamiko ya watu kuhusu mapenzi naishia kucheka tu! Ebu tuacheni tupumue mkikubaliwa haraka nae mtasema easy to get, Mnataka tuweje wenzenu aggggghhhhhh!
Full kupanic kudadadeki hebu pata glass ya maji upunge na upepoAfu sjui kwa nini sku izi umekua kilaza sana! Unaongea pumba sana!
Issue ni kwamba anakukatisha tamaa then anajisuta.
We unaleta habari za kukubali kimatendo!
Embu soma mada upya!
Na hisi someone ana hak id yako!
TAKE YOUR TIME FOOL!
Wewe nawe kwanza shikamoo.
Kwa Casuist umepita lini? Mi nina kamuda now nataka niendepo.
lol... mkuu, unajua nini? ni hivi, kwa mfano umeshamzungukia kama wiki hivi unaona bado analeta nyodo mbele na nyuma, basi kuwa kama unampiga biti za kisela sela hivi kwamba kama vipi mi nakata waya... ila isiwe siriaz mana unaweza pigwa chini kweli.. hahahaaa!Hahahahaa. We umtongoze ke afu umwambie ikifika mwezi haujanikubali usijekunitafuta. Kweli?
Mi nahisi hata kama alikuwa na mpango wa kukukubalia mapema aweza hairisha wallah.
Kutongoza na kuomba jibu ni ushamba sana
hivi huwezi kumsoma mwanamke ambae kakukubali japo hajatamka kuwa kakubali?
vitu vingine havihitaji shule, mnaboa na hiyo mitongozo ya kale ndo maana mnazungushwa
lol... mkuu, unajua nini? ni hivi, kwa mfano umeshamzungukia kama wiki hivi unaona bado analeta nyodo mbele na nyuma, basi kuwa kama unampiga biti za kisela sela hivi kwamba kama vipi mi nakata waya... ila isiwe siriaz mana unaweza pigwa chini kweli.. hahahaaa!
Mi nilishatumia hiyo policy nikafanikiwa.. nikaambiwa hivi.. ''basi bwana mi nakubali''!... nikacheeeeeeka kimoyomoyo then.. room!