Kutongoza na kuomba ujibiwe ndio au hapana ni kizamani mno....siku hizi unajibiwa ndio mkiwa kitandani mnasubiri raundi ya pili...au unaambiwa hapana huku mnajiandaa na raundi ya tatu..
Aa wapi. Wee mbunye watu wazinunua hii yajileta bure kwa uzembe wake teh teh teh. Na mimeno yote hii...
Umeona ee!
Nimetongoza Jana, Leo nimekula mzigo Da! Wadada jirekebisheni!!
Sasa mmekuja na hili, mnaloooooo!!!
Wanaume wachche sana tuna guts za kuwakataa baada ya wao kuzingua
Kutongoza na kuomba ujibiwe ndio au hapana ni kizamani mno....siku hizi unajibiwa ndio mkiwa kitandani mnasubiri raundi ya pili...au unaambiwa hapana huku mnajiandaa na raundi ya tatu..
Eeeh me nilijua wewe ni Ke kisa hiyo madam. Anyway usijione mjanja sana kisa umepewa zigo mapema. Kuna wadada wana mission zao hapa town, so wewe unapomuomba mzigo mapema na yeye anashukuru kuwa mission yake imefanikiwa mapema. Jitambue na jithamini. Samahani kama nimekukwaza
Hujanikwanza, mi ni ke ndugu. Ila Nilikuwa nasemea tabia za hawa men's kutongoza Jana Kula mzigo Leo Halafu wanatuambia tubadilike. Leo wanatesema tunawazunguuuusha!!!! Ahaaaaaa u make me laught saaana!! Ahaaaaa!!
Hahahaha nisamehe bure. Nikajua ndo unajisifia kisa umepewa zigo fasta hahahaah. Nimetoa mpya leo lol
aiseeeeee sijawahi ona hii upewe jibu la hapana wakati game inaendelea lol
Hahahahahaaaa! Chapa ilale! Hakuna cha kupoteza.
Hongera kwa kujitambua na kujithamini. Huna mpango na mtu why umvue nguo? Si umuache tu aende kwa wanaomuhitaji
miss neddy kwani naweye hako kamchezo unacho?
Yaani akirudi unachapa ukimaliza unamwambia samahani sister kwa mda ulionizungusha nimepata mwingine. Samahani kwa hilo.