Nilimsikia cleric mmoja anasema utakosa ufalme wa mbinguni na kuchomwa moto wa milele!
Well said,auntie AshadiiFaida ya kufanya sex kabla ya ndoa
- Mnasomana mapema na huyo mwenza wako kama mpo compatible or not. Swala la sex ni kizungumkuti, watu wametofautiana katika tabia na uhimili wa sex. That is to say for instance umepata mtu ambaye yeye game kwake ni dakika 5 tu na hali wewe ni dakika 90, ni mtihani mkubwa. Usaliti ni kwa kiasi kikubwa sana kuweza kutokea...
- Mazoea, kusomana... Kama umewahi kuwa katika mahusiano utagundua kuwa waweza mfahamu vema mpenzi wako; lakini ikitokea sasa mkalalana ndio hasa kuna vitu vingine utafahamu zaidi juu yake. Vitu hasa viendanavo na attitude for sasa kila mmoja anajiachia kuliko before...
- Nafasi ya kuwa intimate zaidi, mnakuwa more than marafiki, makuwa wazi zaidi hivo kuna baadhi ya mambo ambayo ni msingi kwa wapenzi yanaweza kuwa sorted out mapema. Hivo kukupa nafasi ya kujua kama huyo mtu atafaa in the long run or ni wa kuachia ngazi mapemaaaa!
Hasara ya kufanya sex kabla ya ndoa (hizi zaidi kwa sie akina mama)
- Kusomeka tabia kirahisi, hivo kama tabia yako ni mbovu katika vipengele mbali mbali ni rahisi mtu kukuacha. Hii ni kutokana na jinsi ambavo mnakuwa intimate katima mahusiano hivo kujiachia kwa sana. Maana kama kisha lala na wewe kuna kitu gani kimebaki ambacho chaweza muweka aendelee kuwepo?
- Katika kufanya mapenzi kuna tabia ya ndani ya mtu waweza pata glimpse, kama morals za huyo mtu... Nature ya huyo mtu, msimamo wake ki maadili kwa misingi ya kukuza familia na the like. Hivo ni rahisi pia kumpoteza mtu ambae ulitarajia uwe nae hadi ndoa.
- Kuwa na idadi kubwa ya wapenzi, mara nyingi watu wengi huwa katika mahusiano hopping kuwa huyo alie naye ndio jackpot, which with time proves other wise... Tena na tena wajaribu, tena na tena watemwa... Kuna kaka alishawahi niambia, If only women knew kuwa kama a guy wants her sana na akambania kufanya mapenzi; mwanaume anaweza hata amua kuoa. (I did not by the line, ila niliona kuna ukweli ndani yake, hakuna tamu to guys kama kutaka kitu alafu hawezi kukipata but kuna mbadala wa kupata...)
AshaDii my dia, nimekusoma. na kwa bahati nzuri hii mada imekuja wakati nikijiuliza swali kwamba "hivi ngono ni kipimo cha mapenzi au upendo" make utakuta mnafahamiana kwa muda mfupi lakini yeye ( mwanaume) analazimisha kufanya mapenz et kwa kauli kwamba "ngono ni kiungo cha kufanya hitimisho la maridhiano" akimaanisha kuwa ngono ndo sign ya kwamba mmekuwa wapenzi. nikabaki najiuliza hv mkishafanya mapenzi afu ukagundua udhaifu, utaachana nae na kutafta mwingne na mwingine na mwingne mpk umpate alie kamil
Faida ya kufanya sex kabla ya ndoa
- Mnasomana mapema na huyo mwenza wako kama mpo compatible or not. Swala la sex ni kizungumkuti, watu wametofautiana katika tabia na uhimili wa sex. That is to say for instance umepata mtu ambaye yeye game kwake ni dakika 5 tu na hali wewe ni dakika 90, ni mtihani mkubwa. Usaliti ni kwa kiasi kikubwa sana kuweza kutokea...
- Mazoea, kusomana... Kama umewahi kuwa katika mahusiano utagundua kuwa waweza mfahamu vema mpenzi wako; lakini ikitokea sasa mkalalana ndio hasa kuna vitu vingine utafahamu zaidi juu yake. Vitu hasa viendanavo na attitude for sasa kila mmoja anajiachia kuliko before...
- Nafasi ya kuwa intimate zaidi, mnakuwa more than marafiki, makuwa wazi zaidi hivo kuna baadhi ya mambo ambayo ni msingi kwa wapenzi yanaweza kuwa sorted out mapema. Hivo kukupa nafasi ya kujua kama huyo mtu atafaa in the long run or ni wa kuachia ngazi mapemaaaa!
Hasara ya kufanya sex kabla ya ndoa (hizi zaidi kwa sie akina mama)
- Kusomeka tabia kirahisi, hivo kama tabia yako ni mbovu katika vipengele mbali mbali ni rahisi mtu kukuacha. Hii ni kutokana na jinsi ambavo mnakuwa intimate katima mahusiano hivo kujiachia kwa sana. Maana kama kisha lala na wewe kuna kitu gani kimebaki ambacho chaweza muweka aendelee kuwepo?
- Katika kufanya mapenzi kuna tabia ya ndani ya mtu waweza pata glimpse, kama morals za huyo mtu... Nature ya huyo mtu, msimamo wake ki maadili kwa misingi ya kukuza familia na the like. Hivo ni rahisi pia kumpoteza mtu ambae ulitarajia uwe nae hadi ndoa.
- Kuwa na idadi kubwa ya wapenzi, mara nyingi watu wengi huwa katika mahusiano hopping kuwa huyo alie naye ndio jackpot, which with time proves other wise... Tena na tena wajaribu, tena na tena watemwa... Kuna kaka alishawahi niambia, If only women knew kuwa kama a guy wants her sana na akambania kufanya mapenzi; mwanaume anaweza hata amua kuoa. (I did not by the line, ila niliona kuna ukweli ndani yake, hakuna tamu to guys kama kutaka kitu alafu hawezi kukipata but kuna mbadala wa kupata...)
Mimi nadhani kuna faida zaidi kuliko hasara.