Kwanini mnafanya mapenzi kabla ya ndoa?

Kwanini mnafanya mapenzi kabla ya ndoa?

Dr.Toy

Member
Joined
Jul 30, 2012
Posts
43
Reaction score
7
Napenda kuwauliza ndugu zangu, kwa nini mnafanya mapenzi kabla ya ndoa? Why don't u wait until muoane?

Research zinaonyesha hii inasababisha mahusiano mengi yasidumu.
 
Mambo ya kuhakiki ubora zaidi (Tbs).lol!
 
Kabla ya ndoa maana yake nini?
 
Napenda kuwauliza ndugu zangu, kwa nini mnafanya mapenzi kabla ya ndoa? Why don't u wait until muoane? Researh zinaonyesha hii inasababisha mahusiano mengi yasidumu.

Dr. Toy, research zinaonyesha kwa kiwango gani?
Na kama ni kweli pia inategemea research ilifanykia wapi, aina ya sample nk nk nk.
 
Unajua unaweza kuta mademu wengine mashine ishachoka na ukaja kuoa ukajuta. Lazima utest mashine iko poa!! baada ya hapo unatangaza ndoa kwa nia ya kukwepa kuuziwa mbuzi kwenye Gunia.

Ni muhimu kufanya hivyo kupima kama binti kesha chezewa sana kukwepa kula mzoga, ila cha muhimu kuangalia kama utaogelea kwenye hiyo K ama vinginevyo. Manake kuna K zingine balaa yaani KAMOJA TU unakuta mwili mzima unalowa sasa mtu wa namna hiyo wa nini utangaze ndoa? Kutest kuna raha yake. Chezea kutest wewe kabla kuoa.....
 
Ndoa inafungwa na watu ambao wote kwa ukawaida wanakuwa above 18 years old. Hivyo suala la mapenzi ni hiari ya watu wenyewe (The consent of all parties), hivyo ni wao wenyewe wakifanya kabla au baada, au kabla na kuendeleza baada. Samahani hayo ni maoni yangu, acheni wale maraha
 
Nia hapa ni kuongeza mapenzi ya dhati baina ya wawili! Hebu fkr unampenzi halafu anakunyima penzi? Au eb mfumanie demu?
 
Napenda kuwauliza ndugu zangu, kwa nini mnafanya mapenzi kabla ya ndoa? Why don't u wait until muoane? Researh zinaonyesha hii inasababisha mahusiano mengi yasidumu.

Ushawahi kwenda kununua nguo ukachukua bila kuipima kama ni size yako????
 
Simple answer... mihemko haingoji mpaka uoe/olewa
 
mh,,maBIG
Unajua unaweza kuta mademu wengine mashine ishachoka na ukaja kuoa ukajuta. Lazima utest mashine iko poa!! baada ya hapo unatangaza ndoa kwa nia ya kukwepa kuuziwa mbuzi kwenye Gunia.

Ni muhimu kufanya hivyo kupima kama binti kesha chezewa sana kukwepa kula mzoga, ila cha muhimu kuangalia kama utaogelea kwenye hiyo K ama vinginevyo. Manake kuna K zingine balaa yaani KAMOJA TU unakuta mwili mzima unalowa sasa mtu wa namna hiyo wa nini utangaze ndoa? Kutest kuna raha yake. Chezea kutest wewe kabla kuoa.....
 
Unajua unaweza kuta mademu wengine mashine ishachoka na ukaja kuoa ukajuta. Lazima utest mashine iko poa!! baada ya hapo unatangaza ndoa kwa nia ya kukwepa kuuziwa mbuzi kwenye Gunia.

Ni muhimu kufanya hivyo kupima kama binti kesha chezewa sana kukwepa kula mzoga, ila cha muhimu kuangalia kama utaogelea kwenye hiyo K ama vinginevyo. Manake kuna K zingine balaa yaani KAMOJA TU unakuta mwili mzima unalowa sasa mtu wa namna hiyo wa nini utangaze ndoa? Kutest kuna raha yake. Chezea kutest wewe kabla kuoa.....

mbona waongelea one side?vp kuhusu kukutana na kibamia au mguu wa tembo? Na wale wanaogusa 2 halafu jogoo kashalegea? Ni kizazi cha uzinz 2
 
Ah lazima utesti zali kabla hujaoa usijefungiwa mbuzi kwenye gunia bure
 
Mh, kwani we mtoa mada una marital status gani? min naona majibu unayo, kama uko single subiri uoe au kuolewa ndipo uanze kula tunda, lkn baada ya hapo usilete tena thread ya kuomba msaada tukusaidie mawazo ya ulichokutana nacho. na kumbuka baada ya ndoa hakuna kuachana.
 
Back
Top Bottom