Kwanini mliachana hebu tuambie

duhhhhh
Huruma kidogo basi ..
babu ana mbavu mbili tu uje umpe tackle..
halafu dahhhhh...

naona unajiitia CSI... ngoja nkimbie...
Khaa! wee mwali kwa kumtetea babuyo nakuaminia...........nakumbuka ulivyonitetea kwa bibi baada ya kunikuta nacheza rugby na kale karafiki kako ulokuja nako wakati uko likizo ya fom srii.
 
Sasa siyo mnacheza Rugby afu mnaachana na vitumbo vimevimba. Afrodenzi aliniahidi uzao wake wa kwanza lazima abinjue mapacha watatu lakini siyo wa CCM...........Vigezo na masharti kuzingatiwa.

duuhhhhhhh
unakumbu kumbu wewe unanitisha..
haya ngoja nianze ku warm up maana watatu dahhhh..
 
Kwa hiyo ili tusiachane tuache kufumaniana siyo?

Yeyote yule amfumaniaye ampendaye anatenda zambi juu ya nafsi yake, Asema ODM , na hataurisi ufalme wa Rugby ya kitandani. Watu wote waseme Amina.
:hat:
:spy:
 
Haka kajukuu kakiwa kwenye siku zake za kwenda angani huwa sikaelewielewi..... ngoja nifanye unajimu kwanza.......

matatizo ya kuachana na kutopata upendo wa babu kwa muda..

Tena usisahau kuninywesha kwa lile bilauri uliloniagizia toka Shanghai.....nami ntakuwa nakukagua wakati unaninywesha ili nguvu iongezeke zaidi na zaidi........

hahahahaahah kuna ile nyingine ya Dubai ile hujawahi kutumia..

Khaa! wee mwali kwa kumtetea babuyo nakuaminia...........nakumbuka ulivyonitetea kwa bibi baada ya kunikuta nacheza rugby na kale karafiki kako ulokuja nako wakati uko likizo ya fom srii.

hivi kumbe mlicheza rugby ...
akiachwa mi sipo...
 
Mto Mada ndo anataka kujua hizo sababu nini? Msaidieni mie sijawai kuacha wala kuachwa kawa hiyo sina sababu!
Mie niliamua tuachane kwa 7bu mwenzangu alibadilika na kuwa mlevi wa kupindukia ikawakila wakati ni kugombana mwisho wa kugombana napokea kichapo,yakanishinda nikasepa!
 
Mie niliamua tuachane kwa 7bu mwenzangu alibadilika na kuwa mlevi wa kupindukia ikawakila wakati ni kugombana mwisho wa kugombana napokea kichapo,yakanishinda nikasepa!
Ndo yule yule ulimdanganya kama una Ngoma? au mwingine?
 
matatizo ya kuachana na kutopata upendo wa babu kwa muda..
Amin amin nakuapia, ODM hatakuacha tena kamwe.... atakuwa anakukagua kila mara uhitajipo huduma ya ukaguzi... ngoja babu akanunue mafuta ya masaji....
 
Back
Top Bottom