Kennedy
Platinum Member
- Dec 28, 2011
- 61,599
- 74,421
haaMsamala
haaMsamala
Nimeshatoka kumwingilia kwa mtindo mbovu.Nakuona KUBWA LA MANYUMBU unatema nyongo.
Kwa kuongeza majeshi ya ulinzi yamegawanyika katika kamandi za ardhini, majini na angani. CDF ni inchaji wa majeshi yote ya ardhini, majini na angani..Janja mchawi lugha tu na mazoea ya kuitumia lugha hiyo kikuda, ipo hivi kimombo CDF ni chief of defencive forces ambapo kimatumbi fasaha ilitakiwa aitwe Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na sio kuishia tu Mkuu wa majeshi kama ilvyozoeleka na ndo sababu inaleta tafran kidizaini. Sasa ukichekecha medulla janja langu utaona polisi , magereza na waliobakia yanaweza kuwa majeshi kwa tafsiri lakini sio ya ulinzi.Nikisema ulinzi na maanisha mipaka umenisoma janja wade?
Kuichakata mbususu ya mwana usalama ni kosa ?au hizi mbususu tunazopishana nazo kila siku mtaani zingine ni usalama wa taifa. so unapaswa kuwa makini na tamaa za kijinga, funga zipu nyege zitakuponza
Unaweza kunogewa ukauza siri za kambi.Kuichakata mbususu ya mwana usalama ni kosa ?
We jamaa😄Hivi wewe ni kiraza ama ni zumbukuku wa maarifa? Namana hujui kwamba hizo ni taasisi mbili tofauti na majukumu tofauti. umewahi kuona toka lini kocha wa basketball akaenda kufundisha football. polisi wanamajukumu yao na mkuu wao, pia na wajashi wanamajukumu yao na mkuu wao, hata mafunzo yao hayafanani kwa kiasi kikubwa. kuhusu usalama wa taifa inahitaji mjumuisho wa mambo mengi. usishangae hata muuza madafu pale kariakoo ni usalama wa taifa au hizi mbususu tunazopishana nazo kila siku mtaani zingine ni usalama wa taifa. so unapaswa kuwa makini na tamaa za kijinga, funga zipu nyege zitakuponza.
Unasemaje?We jamaa
Tukutane kwenye comment.Hii imekaaje kaaje?
Ongeza na JKTMajeshi ni jeshi la anga, jeshi la wanamaji na jeshi la ardhini hayo mengine sio majeshi kiongozi so mkuu wa majeshi anatoka ndani ya hayo matatu!
Sidhani kama kuna mtanzania mwenye siri isiyojulikana na idara hiyo.Unaweza kunogewa ukauza siri za kambi.
Soma Katiba utaelewa kwanini nayo ni majeshi, acha kutoa tafsiri yako kichwaniMilitary ni Moja TU nayo ni jwtz, hayo mengine sio majeshi or military .
Police sio military.
Magereza sio military .
Fire sio jeshi
Uhamiaji sio jeshi.
Halafu hili swala nalitafutia Kujua kwa nini na nani alianza kuviata polisi, magereza uhamiaji, zima moto eti ni majeshi.
Haingii akilini na haina mantiki.
Bakita waje watoe ufanunuzi hapa
Tupo wengi tu.Sidhani kama kuna mtanzania mwenye siri isiyojulikana na idara hiyo.
Labda
Fire na uhamiaji walishatolewa kwenye ujeshi, polisi na magereza ni majeshi na yanamiliki silaha za kivitaMilitary ni Moja TU nayo ni jwtz, hayo mengine sio majeshi or military .
Police sio military.
Magereza sio military .
Fire sio jeshi
Uhamiaji sio jeshi.
Halafu hili swala nalitafutia Kujua kwa nini na nani alianza kuviata polisi, magereza uhamiaji, zima moto eti ni majeshi.
Haingii akilini na haina mantiki.
Bakita waje watoe ufanunuzi hapa
Umeandika kama mwanamke kutoka Makolola TangaHivi wewe ni kiraza ama ni zumbukuku wa maarifa? Namana hujui kwamba hizo ni taasisi mbili tofauti na majukumu tofauti. umewahi kuona toka lini kocha wa basketball akaenda kufundisha football. polisi wanamajukumu yao na mkuu wao, pia na wajashi wanamajukumu yao na mkuu wao, hata mafunzo yao hayafanani kwa kiasi kikubwa. kuhusu usalama wa taifa inahitaji mjumuisho wa mambo mengi. usishangae hata muuza madafu pale kariakoo ni usalama wa taifa au hizi mbususu tunazopishana nazo kila siku mtaani zingine ni usalama wa taifa. so unapaswa kuwa makini na tamaa za kijinga, funga zipu nyege zitakuponza.