Kwanini Mkuu wa majeshi hutokea JWTZ pekee?

Miguel255

Member
Joined
May 13, 2020
Posts
35
Reaction score
111
Habari.

Kuna kitu huwa najiuliza sipati maybe ni cha kawaida kwenu ila naomba leo mnijuze.

Kwanini mkuu wa majeshi mara zote huwa anatoka JWTZ. Kwanini asitoke jeshi la polisi au jeshi la uhamiaji? Hii imekaaje kaaje?

Kuna wakati fulani kipinidi cha hayati Raisi Magufuli. Mkurugenzi wa Usalama wa taifa alichaguliwa kutoka jeshi la polisi. Sasa kwenye huu ukuu wa majeshi mbona huwa anatokea sehemu moja tu?

La pili naomba kujua. Je, Mkuu wa majeshi ni mkuu wa majeshi yote yaani polisi, uhamiaji, magereza, tiss na fire au anakuwa mkuu wa majeshi fulani pekee?

Mwenye kujua naomba anijuze tafadhali
 
Hivi wewe ni kiraza ama ni zumbukuku wa maarifa? Namana hujui kwamba hizo ni taasisi mbili tofauti na majukumu tofauti. umewahi kuona toka lini kocha wa basketball akaenda kufundisha football. polisi wanamajukumu yao na mkuu wao, pia na wajashi wanamajukumu yao na mkuu wao, hata mafunzo yao hayafanani kwa kiasi kikubwa. kuhusu usalama wa taifa inahitaji mjumuisho wa mambo mengi. usishangae hata muuza madafu pale kariakoo ni usalama wa taifa au hizi mbususu tunazopishana nazo kila siku mtaani zingine ni usalama wa taifa. so unapaswa kuwa makini na tamaa za kijinga, funga zipu nyege zitakuponza.
 
Sasa unamsaidia kujua au unamchamba?
 
Nazani taasisi nyingi zindraft majority kutoka huko na pia Kuna Ile wengi wape
 
Military ni Moja TU nayo ni jwtz, hayo mengine sio majeshi or military .
Police sio military.
Magereza sio military .
Fire sio jeshi
Uhamiaji sio jeshi.

Halafu hili swala nalitafutia Kujua kwa nini na nani alianza kuviata polisi, magereza uhamiaji, zima moto eti ni majeshi.
Haingii akilini na haina mantiki.

Bakita waje watoe ufanunuzi hapa
 
Hivi wewe ni kiraza ama ni zumbukuku wa maarifa? Namana hujui kwamba hizo ni taasisi mbili tofauti na majukumu tofauti. umewahi kuona toka lini kocha wa basketball akaenda kufundisha football. polisi wanamajukumu yao na mkuu wao, pia na wajashi wanamajukumu yao na mkuu wao, hata mafunzo yao hayafanani kwa kiasi kikubwa. kuhusu usalama wa taifa inahitaji mjumuisho wa mambo mengi. usishangae hata muuza madafu pale kariakoo ni usalama wa taifa au hizi mbususu tunazopishana nazo kila siku mtaani zingine ni usalama wa taifa. so unapaswa kuwa makini na tamaa za kijinga, funga zipu nyege zitakuponza.
Uandishi ni wa kiume ila mtindo wa uongeaji ni wa mwanamke wa uswahilini!
 
WhatsApp Image 2025-12-08 at 7.10.24 AM.jpeg
 
Habari.

Kuna kitu huwa najiuliza sipati maybe ni cha kawaida kwenu ila naomba leo mnijuze.

Kwanini mkuu wa majeshi mara zote huwa anatoka JWTZ. Kwanini asitoke jeshi la polisi au jeshi la uhamiaji? Hii imekaaje kaaje?

Kuna wakati fulani kipinidi cha hayati Raisi Magufuli. Mkurugenzi wa Usalama wa taifa alichaguliwa kutoka jeshi la polisi. Sasa kwenye huu ukuu wa majeshi mbona huwa anatokea sehemu moja tu?

La pili naomba kujua. Je, Mkuu wa majeshi ni mkuu wa majeshi yote yaani polisi, uhamiaji, magereza, tiss na fire au anakuwa mkuu wa majeshi fulani pekee?

Mwenye kujua naomba kimombo CDF au MKuu wa majeshi ni Chie

Janja mchawi lugha tu na mazoea ya kuitumia lugha hiyo kikuda, ipo hivi kimombo CDF ni chief of defencive forces ambapo kimatumbi fasaha ilitakiwa aitwe Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na sio kuishia tu Mkuu wa majeshi kama ilvyozoeleka na ndo sababu inaleta tafran kidizaini. Sasa ukichekecha medulla janja langu utaona polisi , magereza na waliobakia yanaweza kuwa majeshi kwa tafsiri lakini sio ya ulinzi.Nikisema ulinzi na maanisha mipaka umenisoma janja wade?
 
Military ni Moja TU nayo ni jwtz, hayo mengine sio majeshi or military .
Police sio military.
Magereza sio military .
Fire sio jeshi
Uhamiaji sio jeshi.

Halafu hili swala nalitafutia Kujua kwa nini na nani alianza kuviata polisi, magereza uhamiaji, zima moto eti ni majeshi.
Haingii akilini na haina mantiki.

Bakita waje watoe ufanunuzi hapa
Ni majeshi lakini sio majeshi ya Ulinzi,.Ulinzi wa mipaka upo wa aina tatu mpaka kutokea angani, mpaka wa ardhini na mpaka kutokea majini................................................
 
Habari.

Kuna kitu huwa najiuliza sipati maybe ni cha kawaida kwenu ila naomba leo mnijuze.

Kwanini mkuu wa majeshi mara zote huwa anatoka JWTZ. Kwanini asitoke jeshi la polisi au jeshi la uhamiaji? Hii imekaaje kaaje?

Kuna wakati fulani kipinidi cha hayati Raisi Magufuli. Mkurugenzi wa Usalama wa taifa alichaguliwa kutoka jeshi la polisi. Sasa kwenye huu ukuu wa majeshi mbona huwa anatokea sehemu moja tu?

La pili naomba kujua. Je, Mkuu wa majeshi ni mkuu wa majeshi yote yaani polisi, uhamiaji, magereza, tiss na fire au anakuwa mkuu wa majeshi fulani pekee?

Mwenye kujua naomba anijuze tafadhali
Jeshi ni moja tu hayo mengi ni vikosi ila wanasiasa wanawapelemba pelemba..
 
Back
Top Bottom