M2mwembamba
JF-Expert Member
- Feb 23, 2014
- 2,508
- 1,116
Weka picha au video
Hata uzi wako umekosa mvutoAssalam alyekum wana jf natumaini ni wazima wa afya.Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo,chama kikuu cha upinzani chadema wanafanya mkutano huko Dodoma Lakini mkutano huo kama hauna ushawishi.Je wewe unadhani kwa nini,karibuni kwa mawazo yeni
Umeshachukua kasi ccmToka Mbowe amkaribishe Wema sepetunga chadema nimekichukia sana hiki chama
Kwa aina ya majibu uliyoyapata 85% ya JF members ni makada wa chadema huku ndiko walikojificha.. ndio maana haishangazi chochote kila serikali itakachofanya kwao ni kibaya..Assalam alyekum wana jf natumaini ni wazima wa afya.Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo,chama kikuu cha upinzani chadema wanafanya mkutano huko Dodoma Lakini mkutano huo kama hauna ushawishi.Je wewe unadhani kwa nini,karibuni kwa mawazo yeni
Assalam alyekum wana jf natumaini ni wazima wa afya.Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo,chama kikuu cha upinzani chadema wanafanya mkutano huko Dodoma Lakini mkutano huo kama hauna ushawishi.Je wewe unadhani kwa nini,karibuni kwa mawazo yeni

Umetumia kipimo gani?Assalam alyekum wana jf natumaini ni wazima wa afya.Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo,chama kikuu cha upinzani chadema wanafanya mkutano huko Dodoma Lakini mkutano huo kama hauna ushawishi.Je wewe unadhani kwa nini,karibuni kwa mawazo yeni
kila mmoja amekuzodoa!Assalam alyekum wana jf natumaini ni wazima wa afya.Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo,chama kikuu cha upinzani chadema wanafanya mkutano huko Dodoma Lakini mkutano huo kama hauna ushawishi.Je wewe unadhani kwa nini,karibuni kwa mawazo yeni

Makapi ndio sababu ya kupoteza mvuto kwa cdmAssalam alyekum wana jf natumaini ni wazima wa afya.Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo,chama kikuu cha upinzani chadema wanafanya mkutano huko Dodoma Lakini mkutano huo kama hauna ushawishi.Je wewe unadhani kwa nini,karibuni kwa mawazo yeni
Ni kweli ni kama mtoa mada anauliza kwa idadi yao humu jf mbona haoni mathread ya kutosha kuhusu mkutano mkuu wa Chadema....Kwa aina ya majibu uliyoyapata 85% ya JF members ni makada wa chadema huku ndiko walikojificha.. ndio maana haishangazi chochote kila serikali itakachofanya kwao ni kibaya..
sbbu wana ajenda yao binafsi sio kama Taifa.
Na weye jiulize kwa nini wana mawazo mfanano wakati hawajuani, wanatumia id batili na wanaishi sehemu tofautitofauti duniani? Think big!Kwa aina ya majibu uliyoyapata 85% ya JF members ni makada wa chadema huku ndiko walikojificha.. ndio maana haishangazi chochote kila serikali itakachofanya kwao ni kibaya..
sbbu wana ajenda yao binafsi sio kama Taifa.
Na akiona anakimbizwa kimyakimya ajue kifo cha kupondwa kichwa kwa mawe kinanukia!kila mmoja amekuzodoa!
Ungekuwa wa kwanza wewe kutuambia ni kwanini,,au ni kiki ya kupata buku7[emoji28]?Assalam alyekum wana JF, natumaini ni wazima wa afya.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo, chama kikuu cha upinzani CHADEMA wanafanya mkutano huko Dodoma lakini mkutano huo kama hauna ushawishi.
Je wewe unadhani kwa nini?
Karibuni kwa mawazo yenu