mkaruka ataja rinu
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 3,562
- 2,493
Wema Sepetu hajapewa ujumbe wa Baraza Kuu na Kamati Kuu?Mvuto???kwani anatafutwa miss chadema?sometime ujinga wako reflects on your writing.
Wema Sepetu hajapewa ujumbe wa Baraza Kuu na Kamati Kuu?Mvuto???kwani anatafutwa miss chadema?sometime ujinga wako reflects on your writing.
Kumbe umeonaSahihi mkuu, magazeti yote yamewapotezea
Sasa hivi JPM anawapeleka mputa, wanashika hili Jamaa katoka na lingine wakifika JPM kaisha funga bao watakomaYaani badala ya kutoa mawazo ya nini kifanyike mnanishambulia Mimi nilioleta mada,kweli bavicha hamna kwa kushika kwa hawamu hii
JPM anawakimbiza sana suala la makanikia ya madini halijaisha anaweka la IGP siro bavicha hawajui nini cha kushika kipi cha kuachaSasa hivi JPM anawapeleka mputa, wanashika hili Jamaa katoka na lingine wakifika JPM kaisha funga bao watakoma
Hahaha,JPM anawakimbiza sana suala la makanikia ya madini halijaisha anaweka la IGP siro bavicha hawajui nini cha kushika kipi cha kuacha
JIBASHITEGE (0%).Sababu hawana jipya zaid ya kuja na matamuko na kuzungusha mikono
Kwa nini usingeenda wewe uwatumbuize kwa taarabu ili wawe wenye bashasha na mashamushamu?Mkutano wao umekosa hamasa kwa wananchi yani utasema hakuna kinachoendelea kule Dodoma
Yani ni aibu kwa chama kikubwa cha upinzaniMkutano wenyewe Hata Haujulikani
Wamefulia