Kwanini mkutano wa CHADEMA umekosa mvuto?

Assalam alyekum wana jf natumaini ni wazima wa afya.Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo,chama kikuu cha upinzani chadema wanafanya mkutano huko Dodoma Lakini mkutano huo kama hauna ushawishi.Je wewe unadhani kwa nini,karibuni kwa mawazo yeni
Mkutano hauna ushawishi? Wajumbe halali wa mkutano wameususia? Au ulikuwa ni mkutano wa hadhara halafu hawakupiga nyomi? Fafanua mkuu tupate mwanga.
 
Kwani walikuwa wanaendesha kipindi cha Cherekochereko na kutafuta wachumba hadi wawe na mvuto? Halafu mbona wenyewe siyo pesa,, sasa wawe na mvuto gani? Au kusema ni vigori hadi wawe na mvuto? Better be specific and to the point!
 
Assalam alyekum wana jf natumaini ni wazima wa afya.Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo,chama kikuu cha upinzani chadema wanafanya mkutano huko Dodoma Lakini mkutano huo kama hauna ushawishi.Je wewe unadhani kwa nini,karibuni kwa mawazo yeni
Hivi ishu ni mvuto au ajenda za mkutano?
Ulitaka warushe live kama chama chako? Siku nyingine uwe unatofautisha umuhimu wa mkutano na mvuto wa mkutano.
 
Wanafanya mkutano au walifanya mkutano?????
Ndo maana ukawa Lumumba fc
 
Siku zote usiangaike na mivuto ya vitu bali angalia kuwa hivyo vitu vina maanisha nini.
 
Hoja ya mkuu haiko wazi, ungetufafanulia huo mvuto, ulitakiwa uweje? Na umetymia kigezo gani kuutathmini huo mkutano?
 
Assalam alyekum wana jf natumaini ni wazima wa afya.Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo,chama kikuu cha upinzani chadema wanafanya mkutano huko Dodoma Lakini mkutano huo kama hauna ushawishi.Je wewe unadhani kwa nini,karibuni kwa mawazo yeni

Kwanini thread yako imekosa wachagiaji?
 
Assalam alyekum wana jf natumaini ni wazima wa afya.Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo,chama kikuu cha upinzani chadema wanafanya mkutano huko Dodoma Lakini mkutano huo kama hauna ushawishi.Je wewe unadhani kwa nini,karibuni kwa mawazo yeni
Waruhusu wakafanyie jangwani unaweza ku uona huo mvuto unaotàka
 
Ndugu zangu mnaboa Sana leteni mada zenye mashiko. Hii nayo ni hoja kwenu kama ndiyo hivi tunakazi kubwa ya kuwa nchi ya viwanda
 
Walikuwa na mkutano ? ndo mkutano uliotoa tangazo la UHURU KENYATTA ama?
 
Back
Top Bottom