Kwa sababu mashabiki wao mfano wa humu wamechoka kuwasikiliza na kuwafatatilia, wao wanapenda ya Mh. Magufuli na serikali yake kwa sanaaaaa.
Yaani wameona viongozi wao hawana jipya, naandika hivibkwa kuwansioni hata labda watu 5 wakifungua threads then hata zikaungwa kuzungumzia ya mkutano.
Wa humu wengiiiii ni mashabiki waliokumbwa na ya hapa kazi tu ya awamu ya tano, kwa njia tofauti tofauti na wanaisoma namba na wengine wanasaga meno kabisaaaaa.
Subiri kitu cha kuiongelea serikali vibaya au wakiota na kutaka isumbuliwa hapo kula mtu ni expert wa hoja....ha ha ha haaaaaaaa
Chadema kwishney, Dr. Slaa aliondoka nayo
Wadau wengi wanaoiponda CCM na serikali yake ni mashabiki na sio wanachama kabisaaaaaa hawana hata kadi zao, kufata mikumbo tu kwa kuisoma namba. Wakija kutambua JPM aliwatakia wajue iusaka kihalali pesa watamuelewa tena karibuni.