Kwanini Mkoa wa Pwani unakosa Manispaa?

Kwanini Mkoa wa Pwani unakosa Manispaa?

gwang taek

Member
Joined
May 5, 2014
Posts
68
Reaction score
117
Habari zenu wadau wenye akili nyingi.

Hata msipoitikia me nazama kwenye swali moja kwa moja.

Ni hivi kwann mkoa wa pwani wenye wilaya kadhaa kama Kisarawe, Mkuranga, Bagamoyo,kibaha na rufiji unakosa japo hata MANISPAA?

Ikiwa ndo mkoa wenye viwanda vingi kwa sasa na pia upo jirani na jiji kubwa la DSM (kibiashara) na Moro(kilimo) je shida ni Uzaramu, Ukwere na undengereko?
 
Dar es salaam a k a Mzizima ndio makao makuu ya Mkoa wa Pwani.
Toka kale mpaka Sasa.

Kilichofanyika ni kuchukua eneo dogo na kuliita mji/ Jiji halafu kwingine Pwani.

Ila kote ni eneo Moja.

Cha mwisho wilaya za Pwani zote zimeunganishwa na dar es salaam hivyo ni ngumu haya maeneo kujua kwa kasi iliyokusudiwa.

Ila kwa Sasa dar eneo kubwa limejaa ukiitoa kigamboni ndio maana unaona Pwani inajengeka kwa kasi
 
Hauna pisi kali. Wajiongeze wajenge vyuo vikuu vya kutosha uone kama hawatapata fursa hiyo.
NB:
Ili kupata Manispaa ni lazima Pwani iwe Jiji kwanza, na ili kupewa hadhi ya kuwa Jiji ni lazima ufikie level flani ya Maendeleo ya kiuchumi, idadi ya watu n.k.
Umetoa bonge la boko
 
Dar es salaam a k a Mzizima ndio makao makuu ya Mkoa wa Pwani.
Toka kale mpaka Sasa.

Kilichofanyika ni kuchukua eneo dogo na kuliita mji/ Jiji halafu kwingine Pwani.

Ila kote ni eneo Moja.

Cha mwisho wilaya za Pwani zote zimeunganishwa na dar es salaam hivyo ni ngumu haya maeneo kujua kwa kasi iliyokusudiwa.

Ila kwa Sasa dar eneo kubwa limejaa ukiitoa kigamboni ndio maana unaona Pwani inajengeka kwa kasi
Fact
 
Ili kupata Manispaa ni lazima Pwani iwe Jiji kwanza, na ili kupewa hadhi ya kuwa Jiji ni lazima ufikie level flani ya Maendeleo ya kiuchumi, idadi ya watu n.k.
Mkuu huko shule ulienda kusomea ujinga au....CIVICS ya form two inakushinda😅😅
Utaratibu ni huu inaanza mamlaka ya Mji mdogo-halafu Mji-Mji ukishafikia idadi ya watu zaidi ya 90,000 unapewa hadhi ya Manispaa-ikitoka Manispaa inafuata hadhi ya Jiji
 
Dar es salaam a k a Mzizima ndio makao makuu ya Mkoa wa Pwani.
Toka kale mpaka Sasa.

Kilichofanyika ni kuchukua eneo dogo na kuliita mji/ Jiji halafu kwingine Pwani.

Ila kote ni eneo Moja.

Cha mwisho wilaya za Pwani zote zimeunganishwa na dar es salaam hivyo ni ngumu haya maeneo kujua kwa kasi iliyokusudiwa.

Ila kwa Sasa dar eneo kubwa limejaa ukiitoa kigamboni ndio maana unaona Pwani inajengeka kwa kasi
Pwani ni Dar na Dar ni pwani. Hakuna tofauti.
Haya ndio majibu sahihi toka Kwa watu wanaoifahamu Pwani na Dar. Nje ya majibu haya basi fahamu huyo mtu ni mgeni wa Dar na Pwani.
 
Watu wamlandizi akikwambia naenda mjini ujue ni Dar nawatu wa ipogolo iringa wakikwambia naenda mjini ujue ni mashine tatu hivyo hivyo watu wa chimala mbeya wakikwambia naenda mjini ujue kuanzia uyole kwaiyo ndugu pwani ni Dar naukitaka kujua kuwa pwani ni Dar panda basi kutoka mikoani alafu mwambie nashukia mlandizi uone kaa utakatwa nauli ya pwani yani watakata tiketi ya Dar
 
😁
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom