Kwanini Mkapa anapendelea kuita Watanzania Wapumbavu badala ya wajinga. Kama taifa tukoje?

Sipati picha maneno hayo Kama angeyasema mpinzani angeambiwa ni mchochezi, angeshawekwa kizuizini na kufunguliwa kesi na kuandamwa huku na kule ! Ndege wote ni wa Mungu , Kwa nini aliapo Bundi ndo ionekane kuwa mkosi? Udhalimu ni Chukizo machoni pa Muumba!
 
Habari wadau!

Nashindwa kuelewa kwa mara ya pili lro Mkapa kasema kuwa Watanzania ni Wapumbavu kwa kuweza kujenga nyumba za watumishi wa sekta ya afya na kuongezeka kwa takwimu za afya kadai UPUMBAVU WETU UTAPUNGUA.

Sijajua watanzania tuko wapumbavu kwenye lipi?

Je ni kweli kauli ya Kenyata baba ya watanzania tuko kama Maiti hata tukiamshwa hatuwezi amka?

Maana ya neno Pumbavu yaani hata uelimishwe vipi huwezi kubadilika hata kwa dawa ila mjinga ni kwamba hujui ila ukielekezwa au kufahamishwa ujinga unakutoka ila upumbavu hautoki kabisa.

Sasa labda wanaojua sie ni wapumbavu wa kitu gani au sie ni maiti.

ye mwenyewe FISADI, NA MUME BWEGE kulea wa wenzie
 
Acha upumbavu wewe kamuulize happiness yule kwa kino

Sent from my BBA100-2 using JamiiForums mobile app
 
Amesahau na yeye alishawahi kuwa rais wao

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kwa sababu hata yeye mwenyewe pia ni mmoja wa hao wapumbavu!

Kama alitawala taifa la wapumbavu na alikuwa na sababu ya kulifanya lisiwe tena la wapumbavu, lakini ameliacha likiwa bado lina wapumbavu sasa hapo anaanzaje kujitoa kwenye hilo kundi la wapumbavu?

Huyu mzee ni kirusi kikubwa sana katika nchi hii.
 
Wachana naye ..huyu kwanza bonge sasa sisi tuombe aishi miaka 120
Si mnamkumbuka Sharon wa Israel...haya kibri na dhulma za wahanga wa 2001 kule pemba

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Nini maana ya UJINGA=Ujinga ni hali ya kutokuwa na uwelewa katika jambo/kitu fulani.Na UPUMBAVU=Ni hali ya kutokuwa na uwelewa wa jambo/kitu fulani lakini pia hutaki kubadilika kutoka katika dhana uliyonayo juu ya jambo hilo,inamaana mawazo Mgando ndo upumbavu.Vinahitaji Politeness na Educational conditions ili kuondoa dhana hizi.Unit and Solidarity to Stop.Tusiangalie Kama Mob tuje Mmoja mmoja kila room kwake ajichunguze lazima atajigundua either ujinga wake au upumbavu wake.Labda niulize swali.Kwa ujinga/Upumbavu ulionao chukulia ungejioa ukajiacha je,ungejirudia?

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Huyu Mzee Siku sujui aliamkaje hadi kuamua kuutukana Umma wa waTZ ! Kwani tumemkosea kitu gani kikubwa mno jamani?!
 
Habari wadau!

Nashindwa kuelewa kwa mara ya pili lro Mkapa kasema kuwa Watanzania ni Wapumbavu kwa kuweza kujenga nyumba za watumishi wa sekta ya afya na kuongezeka kwa takwimu za afya kadai UPUMBAVU WETU UTAPUNGUA.

Sijajua watanzania tuko wapumbavu kwenye lipi?

Je ni kweli kauli ya Kenyata baba ya watanzania tuko kama Maiti hata tukiamshwa hatuwezi amka?

Maana ya neno Pumbavu yaani hata uelimishwe vipi huwezi kubadilika hata kwa dawa ila mjinga ni kwamba hujui ila ukielekezwa au kufahamishwa ujinga unakutoka ila upumbavu hautoki kabisa.

Sasa labda wanaojua sie ni wapumbavu wa kitu gani au sie ni maiti.

Huwa naona akitaka kuwaongelea Watanzania anakuwa na jazba na sijui walimkosea nini. Yeye ndiye angekuwa anatupa mwanga kwa uzoefu na busara zake, lakini kwa aina ya lugha anayotumia (kwa upande wangu) ananifanya nimwone kama yuko 'negative' na hivyo mara nyingi nina 'switch off' kwa hotuba zake. It's a pity! Kwa upande mwingine, napendelea hotuba za Mwalimu maana zinashawishi na kufikirisha.
 
Ya ss ni wapumbavu, majipu, wendawazimu, vichaa na aliyetuchoma sindano y ganz bac katu overdose....
Mifano hai ipo, watu tunakomaa na chama kimoja zen tunalalamika uduni wa maisha, maslai, afya duni, ukosefu wa maji salama, dhn tunajiita nchi y pili dunian, kwa utajiri wa raslimali mkapa his damn right......

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Huyu Mzee tunapaswa tumpeleke Mahakamani kwa kututusi !!!! Nchi ina wanasheria mahili lakini nashangaa wamekaa kimya kuhusiana na kauli chafu za huyu Mzee. Tumpeleke Kwa Pilato ili tumshikishe adabu huyu msema hovyo!!!
 
Yah.... Kununua mgodi wa makaa ya mawe kwa 75K lazima anayekubali kuuza awe mp....bavu. Ndo maana anawaona hivyo watz
 
Sa kama amewaibia na kuwaibia mpaka akachoka hamjashituka,kwa nini asiwaite wapumbavu

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom