Kwanini Mkapa anapendelea kuita Watanzania Wapumbavu badala ya wajinga. Kama taifa tukoje?

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Habari wadau!

Nashindwa kuelewa kwa mara ya pili lro Mkapa kasema kuwa Watanzania ni Wapumbavu kwa kuweza kujenga nyumba za watumishi wa sekta ya afya na kuongezeka kwa takwimu za afya kadai UPUMBAVU WETU UTAPUNGUA.

Sijajua watanzania tuko wapumbavu kwenye lipi?

Je ni kweli kauli ya Kenyata baba ya watanzania tuko kama Maiti hata tukiamshwa hatuwezi amka?

Maana ya neno Pumbavu yaani hata uelimishwe vipi huwezi kubadilika hata kwa dawa ila mjinga ni kwamba hujui ila ukielekezwa au kufahamishwa ujinga unakutoka ila upumbavu hautoki kabisa.

Sasa labda wanaojua sie ni wapumbavu wa kitu gani au sie ni maiti.
 
Zaidi ya Miaka 50 ya Uhuru bado huduma za jamii kama Maji..Barabara...Afya...

Bado ni changamoto yuko sawa sababu chama chake kimeshindwa katika hilo eneo zaidi ya miaka 50 ya Uhuru..

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom