Kwanini Mkapa anapendelea kuita Watanzania Wapumbavu badala ya wajinga. Kama taifa tukoje?

Habari wadau!

Nashindwa kuelewa kwa mara ya pili lro Mkapa kasema kuwa Watanzania ni Wapumbavu kwa kuweza kujenga nyumba za watumishi wa sekta ya afya na kuongezeka kwa takwimu za afya kadai UPUMBAVU WETU UTAPUNGUA.

Sijajua watanzania tuko wapumbavu kwenye lipi?

Je ni kweli kauli ya Kenyata baba ya watanzania tuko kama Maiti hata tukiamshwa hatuwezi amka?

Maana ya neno Pumbavu yaani hata uelimishwe vipi huwezi kubadilika hata kwa dawa ila mjinga ni kwamba hujui ila ukielekezwa au kufahamishwa ujinga unakutoka ila upumbavu hautoki kabisa.

Sasa labda wanaojua sie ni wapumbavu wa kitu gani au sie ni maiti.
Jiulize kwanza swali hili; alisema hayo maneno akiwa wapi na kwa sababu zipi? Kama aliyasema hayo maneno kuwajibu waliosema wanataka kukomboa Nchi ambayo ilishakombolewa years ago then he was right. Maana waliokuwa wanazungumzia ukombozi ni watu na Elimu zao tena na exposure kubwa. Kama wewe ni msomi na usifahamu kuwa nchi ilishakombolewa 1961 basi ni mpumbavu kweli. Maana umesoma na kusoma na kila kitu kiko wazi lakini usigundue kama tulipata uhuru mwaka 1961. Ni Upumbavu kweli.

Havome
 
Habari wadau!

Nashindwa kuelewa kwa mara ya pili lro Mkapa kasema kuwa Watanzania ni Wapumbavu kwa kuweza kujenga nyumba za watumishi wa sekta ya afya na kuongezeka kwa takwimu za afya kadai UPUMBAVU WETU UTAPUNGUA.

Sijajua watanzania tuko wapumbavu kwenye lipi?

Je ni kweli kauli ya Kenyata baba ya watanzania tuko kama Maiti hata tukiamshwa hatuwezi amka?

Maana ya neno Pumbavu yaani hata uelimishwe vipi huwezi kubadilika hata kwa dawa ila mjinga ni kwamba hujui ila ukielekezwa au kufahamishwa ujinga unakutoka ila upumbavu hautoki kabisa.

Sasa labda wanaojua sie ni wapumbavu wa kitu gani au sie ni maiti.

Huyo siyo mtanzania ndiyo maana anawadharau Watanzania
 
mkuu nani alikupenyezeaa hiyo?
Mtoto wa kwa Mkapa aliyeenda kumuamsha.

Watu wa Usalama na walinzi wote walikuwa wanagwaya kuingia chumbani kwake.

Mtoto wake ndiye aliyeingia na kumkuta mshua ka flat.

Ikabidi amuamshe haraka haraka safari ya kwenda airport kumfuata Mwinyi ianze, kwa kuvunja itifaki. Maana rais anatakiwa kuwa mtu wa mwisho. Kila mtu amngojee rais. Lakini Mkapa kwa ulevi wake alimfanya Mwinyi amgojee yeye Mkapa airport.

Leo huyu mlevi mbwa ndiye anakuja kututukana Watanzania wapumbavu kwa sababu tumenpa heshima ya kuwa rais?
 
kumbe usalama waoga hivyo?
Ndio maaana Magu anajeuri ya kuongea chochotee
 
Juzi tu hapa Bwana Mkubwa alisema kuna watu wameuza viwanda na mashirika kwa jina la ubinafsishaji wenye kuleta tija...twaaaafaaaaaah!
 
kumbe usalama waoga hivyo?
Ndio maaana Magu anajeuri ya kuongea chochotee
Kuingia chumbani kwa mshua si kitu rahisi hivyo.

Sema walikosea sana.

Imagine mshua kapata heart attack anagalagala chini sakafuni, watu wanaogopa kuingia chumbani, anakosa msaada mpaka anafariki.

Ila pia, huyo mtu wa usalama ambaye angeingia na kumkuta Mkapa kaanguka chumbani kwa ulevi ama angekuwa na guarantee ya employment ama Mkapa angemfanya kitu mbaya.

Ndiyo maana wakawa na machale.
 
Juzi tu hapa Bwana Mkubwa alisema kuna watu wameuza viwanda na mashirika kwa jina la ubinafsishaji wenye kuleta tija...twaaaafaaaaaah!
Viongozi wa Tanzania wanaendeleza kauli za ajabu ajabu zinazopingana pingana kiasi kwamba hata kuwafuatilia vigumu.

Ni kama malaya wa kisiasa. Wanaweza kusema lolote kutegemea na mahali walipo.

Ile kauli Magufuli kajipiga dongo yeye mwenyewe na Mkapa wake.

Leo wametokea washkaji wanatutukana.
 
Bado viroba vipo au siku hizi ni kwa chupa tu. Ukienda na chupa kwenye mkutano watakushtukia

Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
 
Upumbavu wetu ni wa miaka mingi ..na anaijua vyema.. Miaka zaidi ya 50...?

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Liwe tusi au la ukweli ni kuwa ni neno linaloudhi tena unapolitumia kujumuisha watu wengi. Sasa mwambieni yule afande wa kanda maalum kuwa mkapa katumia lugha ya kuudhi dhidi ya watanzania tuone kama atachukuwa hatua zozote.
 
Bado 2020 mtaipgia tena..kwel tuna wapumbavu weng..

Sent from my DP7CPRO using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli watanzania ni wapumbavu, na nataka nikwambie tu kuwa waliokuwepo chato juzi wote walikuwa watanzania na wajapani wa ubalozi pekee. Kwahiyo wapumbavu walikuwepo pale wengine na walikuwa wanacheka tu
 
Anatuita wajinga kwa sababu wanatugeuza wanavyo taka wao msifanye siasa tufanye sisi tu SAWA vichwa hiv avina mwenyewe SAWA uchumi unakua SAWA

Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
 
Ukawa!!! Inawahusu hii sio mimi hata....mm mtanzania mwerevu na mjanja niko ccm

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app

wakina chenge,ngeleja na tubaijuka sio bado wapo ccm na wanapigiwa kura kama kawa za kurud bungeni mwingine anapewa uwenyekit wa bunge
 
7036aa4c9120b0dbbadb4535fa6e158b.jpg
 
Hivi ninyi watawala mnadhani watanzania kweli Ni wajinga kiasi hik? Yaani mnaamini kabisa kwamba hawaoni, na hawaelewi mnachokifanya? Hamjui mnaongeza chuki na uhasama nchini? Hii awamu sijui tuiiteje? Kweli mkapa anacheua Kwa jeuri na kutukana watanzania tena Kwa kurudiarudia alafu mkuu yuko kimya huku anasema Ni mtetezi wa wawanyonge na msema kweli!, mzee wawatu mwemye hekima na busara zake a.k.a Edo akiwashauri muwatendee haki mashehe mnamuita mchochezi.

Amini nawaambia mnalipasua hili taifa vipande viwili na kilishapasuka hamtaweza kulishona na M
My Magu hakika utadaiwa fidia ya chuki unayopanda.
 
Nikiwa Mtanzania timamu nimekuwa huku natambua kutukana watu awe mdogo au mkubwa ni kosa.

Sio tu katika ukuaji bali hata katika maisha ya kawaida katika nyanja tofauti kama utawala, uchumi,elimu na zingine.

Kumekuwa na kasumba ya baadhi ya viongozi wamekuwa wanatukana tena kwa ujasiri bila kuangalia hata waliowazunguka,Sio fair.

Jana tu hapa Rais mstaafu wa Tanzania ndugu Mkapa kwa ujasiri kaachia tusi simple but heavy mbele ya rais na mbele ya kamera na mbele ya wananchi bila haya kabisa.

Wiki moja nyuma mbunge wa CHADEMA kajaribu kutoa mawazo yake kwa hasira (hakutumia matusi)kumpinga mh rais kila mtu anajua kilichompata
Maana yake nn;
1. Uhuru wa kutoa mawazo ukimpinga mkulu haupo
2. Ukitoa maoni ya kuwaponda wapinzani wewe ni mzalendo
3. Ukiwatukana na kuwaweka lupango (kama unauwezo) wapinzan aaaah you are a realy hero na mzalendo haswaaaa
4. Mkulu hataki upinzani
5. Mkulu hakosolewi
6. N.K

Sio fair kabisa,Kama ni wapenda amani lazima tuitazame Hali hii bcoz kesho yaweza kuzaa chuki yakaja kutukuta kama ya ndg zetu huko k..... (Nackia ukipataja unaenda kusaidia upelelezi)

Watanzania tunataka siasa safi,maendeleo, ajira, huduma za kijamii maana siasa tunangoja kushiriki 2020.

TUTAONA WA KUCHAGUA NA KUACHA.

Muwe na siku njema

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
ccm wanahaki ya kutukuna Taifa zima kuwa ba dora raha sana hata uraisi unaupata.
 
Back
Top Bottom