Ndetirima
JF-Expert Member
- Oct 4, 2011
- 1,008
- 789
Miaka 28 bado sana kwa kijana wa kiume punguza spidi muda wako ukifika utampata inawezekana wengi wanakuona bado hujakomaa kwa mikiki mikiki ya ndoa. Ndoa ina mambo mengi kijana usiikimbilie kama hujajiandaa katika nyanja zote za kimwili, kiakili na kiroho, mtangulize Mungu na uwe na subira. Muombe Mungu huku ukitenda kama atakavyo, sio kufanya dhambi na kutegemea msaada wa Mungu hapo utakuwa unajidanganya kumpata mke mwema.