Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622
kamwene
Kamwene....ila hawa ni majirani zangu
kamwene
28 sasa!
kweli mi msukuma , nataman sana nimpate wangu
salama shemi avatar mbona unabadilisha kila siku unataka umkwepe baba Ngina?
mi si wahuko, hujui maana za maneno zinatofautiana? kwn wote humu jf ni huko?Kule kwetu nyanda za juu kusini mdesi maana yake mwongo....huwa napata kigugumizi kusoma post zako maana huwa nahisi ni za uongo lol...
Usihofu Mungu ameshasikia maombi yako sasa anakuandalia huyo wa kufanana na wewe mimi ilinichukua miaka kadhaa nikimgojea Bwana anipe wa kufanana na mimi kumbe kilikuwa bado kitoto kidogo, Mungu alikuwa ansubiri kikomae komae anikutanishe na hiki kibinti.Kwa kweli ni kama tupo paradiso haleluya.
pia kama ana gari siku moja moja panda daladala na treni mchanganyiko uko pia ni mkubwa.