master09
JF-Expert Member
- Aug 12, 2013
- 819
- 564
Basi siyo mpenzi wako...... Maana siyo lazima umsaidia pesa hata mawazo.....nitamaa zako za mwili ila ukipenda unajika tayari kwenye penzi hakuna processYaani nashindwa kujielewa nina tatizo gani mimi,je ni ubahili,uchoyo au umimi? Nikiwa na mwanamke huwa sipendi aniombe hela kabisa.
Hata akiwa na shida kubwa kiasi gani ambayo nahisi kabisa naweza kuitatua huwa nakuwa mzito sana kumsaidia vinginevyo hiyo shida isihusishe pesa,ila kama ni masuala ya pesa huwa nina uzito sana wa kutoa,hivi hii inachangiwa na niini wakuu?