jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 22,464
- 43,438
Je hao migebuka wana magamba? Ukitaka kumpika unaparua magamba mfano wa sato?Wakuu habari.
Kama wewe ni mkazi ama umewahi ishi miji ya mwambao mwa ziwa Tanganyika utajionea anina nyingi sana ya samaki wakiwamo Migebuka,kuhe,dagaa kigoma n.k.
Ukiachilia mbali dagaa wa kigoma kupendwa na kuwa ni dagaa wanaongoza kuwa na bei kubwa nchini.
Migebuka ni moja ya samaki watamu na wenye virutubisho vingi na wakubwa ila wana soko dogo na bei ya chini na wanaliwa sana na wakazi wa pembezoni mwa ziwa Tanganyika.
Pamoja na yote hayo migebuka ama samaki wanaopatikana katika ziwa Tanganyika wamekua hawana soko ama umaarufu hapa nchini ukilinganisha na samaki wanao patikana ziwa Nyanza(Victoria).
Wafugaji wengi wa samaki wamejikita katika ufugaji wa samaki wanao patikana ziwa Nyanza hususani Sato na sangara..na ndio samaki wenye soko kubwa sana ndani na nje ya nchi.
Swali langu kwenu wa dau.
Je kipi kinafanya samaki hawa kutoka ziwa Tanganyika kuwa na soko hafifu ndani na nje ya nchi?
Je hawa samaki wanaweza kufungwa nje ya mazingira yao kama ilivyo sato ama kambare?
Nini kifanyike kuongeza ulaji na soko la hawa samaki kutoka ziwa Tanganyika?
#MaendeleoHayanaChama
View attachment 2285338
Moja ya sababu ni ugumu wa kuvua kwenye lile ziwa, Liwe ziwa achana nalo kabisa kuna Changamoto nyingi sana hasa kwenye kuvua kwa sababu ya kina kirefu sana ukilinganisha na Victoria, na oia Demanda yake, Wale Dagaa wana uzwa sala Ulaya usiwaone vileLabda nikujibu sisi watu wa pwani baharini, kibuwa hawezi kuwa na soko au bei kama ya changu na kolekole.
Kuna samaki anaitwa lobster anauzwa kwa gram au kilo ndio anaongoza kwa bei na ana maganda mengi kuliko nyama..
Swali linarudi kwako, ni kwa nini dagaa wa Kigoma ni expensive kuliko dagaa wa ziwa nyanza?
Wewe ni msabato?Je hao migebuka wana magamba? Ukitaka kumpika unaparua magamba mfano wa sato?
Mimi nimeuliza wewe pia unauliza. Sijajua wasabato wana uhusiano gani na migebuka unaotaka kuunganisha hapa.Wewe ni msabato?
Wewe ni msabato?Je hao migebuka wana magamba? Ukitaka kumpika unaparua magamba mfano wa sato?
Wewe utakuwa ni mjukuu wa Mzee Mohamed Said siyo bure, siyo kwa ujinga huu.Salam wakum.
Mim sio mtaalam sana wa maswala ya history Ila history ya ujiji Ni hii
Kwamujibu wa historia ya mji wa ujiji miaka 5000 iliyopita katika ramani ya kwanza ya mjerumani ilikua na vijiji vitatu {3} I, South Africa ii,mzizima na chatatu ujiji .
Wazee wa zamani kutoka ujiji ndio walio pambania Uhuru wa nchi ya Tanganyika waziri mkuu wakwanza wa Tanganyika alikua Ni mtu wa ujiji
ujiji ndio mji unaotoa vijana wasomi,wenye vipaji vikubwa zaidi hapa nchini katika nyanja mbalimbali . Kisiasa,kidini,kimichezo,nk.
Ukiutafuta mkoa wa kigoma kwenye ramani ya Tanzania huupati utapata ujiji kigoma. Na sabau sababu kubwa ya inasemekana kua Ni mgebuka ndio unawafanya watoto au walaji wa migebuka kuwa waelevu sana na wenye uwezo binafsi
Hayati jk,nyerere ndio mtu wakwanza alie fanya figisu figisu ya kuwadhoofisha watu na wakazi wa ujiji ili wasipate nafasi kubwakubwa serekalini maeneo fofauti fofauti.
Kwaiyo sababu ya samaki aina mgebuka au samaki wa ziwa Tanganyika kutothaminika au kutopata soko la ndani Ni figisu figisu za viongozi walio pita huko nyuma.
Alie jitahidi kuwafuta machozi watu wa kigoma Ni msataafu jk,kikwete.
Wataalam wa historia mtanisaidia.
Kuna ukweli, make wanafanana sana tofauti ni kwamba sangara ni wanene na hawa ni wembamba kama vibuaMigebuka ndio sangara. Walivyopandikizwa ziwa victoria ikatoka mbegu kubwa. Ziwa tanganyika hakina tope jingi chini kama ilivyo ziwa victoria
Kuna sababu nyingi, Ugumu wa kuwavua wale Samaki, pale labda ziende Meli za Uvuvi, pia Umbali wa kutoka Kigoma, Ila Arusha naiona sana sema wanauza bei.Kuna taarifa nimewahi sikia kuwa migebuka ni samaki wanaoweza ishi kwenye maji ya ziwa Tanganyika pekee.
Hivyo huwezi wazalisha kwa kuwafuga kama ilivyo kambale, sato, sangara n.k kitu kinachopelekea uzalishaji wake kuwa mgumu.
Sambamba na hilo, uvuaji wa hawa samaki ni changamoto kubwa kutokana na kina kirefu cha ziwa Tanganyika.
Uvuvi wa dagaa toka ziwa Tanganyika sio mgumu kama ule wa samaki. Ukiwa pale Kigoma mjini ni rahisi kukuta masoko makubwa ya dagaa mfano pale Kibirizi, Katonga n.k lakini sio migebuka kwa vile dagaa ni rahisi uvuvi wake.
Kwa hoja hiyo kiasi kinachozalishwa ni kidogo kisichoweza sambazwa soko la Nchi nzima kitu kinachochagiza watu wengi kutojua ladha maridhawa ya migebuka na kudumaza soko la walaji.
Ninahisi hizo huenda ni baadhi ya sababu zinazopelekea migebuka kutokuwa samaki wenye uhitaji mkubwa sokoni hapa Tanzania.
Mkuu ni busara zaidi kuandika mambo uliyo na yakini nayo, iko hivi, hata kama hufahamu jambo fulani, unapokaa kimya watu hukuchukulia mwenye ufahamu, pengine hujaamua tu kuongea.Salam wakum.
Mim sio mtaalam sana wa maswala ya history Ila history ya ujiji Ni hii
Kwamujibu wa historia ya mji wa ujiji miaka 5000 iliyopita katika ramani ya kwanza ya mjerumani ilikua na vijiji vitatu {3} I, South Africa ii,mzizima na chatatu ujiji .
Wazee wa zamani kutoka ujiji ndio walio pambania Uhuru wa nchi ya Tanganyika waziri mkuu wakwanza wa Tanganyika alikua Ni mtu wa ujiji
ujiji ndio mji unaotoa vijana wasomi,wenye vipaji vikubwa zaidi hapa nchini katika nyanja mbalimbali . Kisiasa,kidini,kimichezo,nk.
Ukiutafuta mkoa wa kigoma kwenye ramani ya Tanzania huupati utapata ujiji kigoma. Na sabau sababu kubwa ya inasemekana kua Ni mgebuka ndio unawafanya watoto au walaji wa migebuka kuwa waelevu sana na wenye uwezo binafsi
Hayati jk,nyerere ndio mtu wakwanza alie fanya figisu figisu ya kuwadhoofisha watu na wakazi wa ujiji ili wasipate nafasi kubwakubwa serekalini maeneo fofauti fofauti.
Kwaiyo sababu ya samaki aina mgebuka au samaki wa ziwa Tanganyika kutothaminika au kutopata soko la ndani Ni figisu figisu za viongozi walio pita huko nyuma.
Alie jitahidi kuwafuta machozi watu wa kigoma Ni msataafu jk,kikwete.
Wataalam wa historia mtanisaidia.
Kipindi nipo kigoma 2017 niliwahi nunua dagaa wa kigoma 1kg kwa 25,000/=tsh.Labda nikujibu sisi watu wa pwani baharini, kibuwa hawezi kuwa na soko au bei kama ya changu na kolekole.
Kuna samaki anaitwa lobster anauzwa kwa gram au kilo ndio anaongoza kwa bei na ana maganda mengi kuliko nyama..
Swali linarudi kwako, ni kwa nini dagaa wa Kigoma ni expensive kuliko dagaa wa ziwa nyanza?
Ndio wana magamba...yanaparuliwa kama yale ya sato ama Sangara.Je hao migebuka wana magamba? Ukitaka kumpika unaparua magamba mfano wa sato?
Duuh..basi haikupendeza..ila sasa huyo JKN hayupo zaidi ya miaka 20 sasa..je nini bado kina dumaza soko la hawa samaki tukiachilia mbali hiyo hoja yako.?Salam wakum.
Mim sio mtaalam sana wa maswala ya history Ila history ya ujiji Ni hii
Kwamujibu wa historia ya mji wa ujiji miaka 5000 iliyopita katika ramani ya kwanza ya mjerumani ilikua na vijiji vitatu {3} I, South Africa ii,mzizima na chatatu ujiji .
Wazee wa zamani kutoka ujiji ndio walio pambania Uhuru wa nchi ya Tanganyika waziri mkuu wakwanza wa Tanganyika alikua Ni mtu wa ujiji
ujiji ndio mji unaotoa vijana wasomi,wenye vipaji vikubwa zaidi hapa nchini katika nyanja mbalimbali . Kisiasa,kidini,kimichezo,nk.
Ukiutafuta mkoa wa kigoma kwenye ramani ya Tanzania huupati utapata ujiji kigoma. Na sabau sababu kubwa ya inasemekana kua Ni mgebuka ndio unawafanya watoto au walaji wa migebuka kuwa waelevu sana na wenye uwezo binafsi
Hayati jk,nyerere ndio mtu wakwanza alie fanya figisu figisu ya kuwadhoofisha watu na wakazi wa ujiji ili wasipate nafasi kubwakubwa serekalini maeneo fofauti fofauti.
Kwaiyo sababu ya samaki aina mgebuka au samaki wa ziwa Tanganyika kutothaminika au kutopata soko la ndani Ni figisu figisu za viongozi walio pita huko nyuma.
Alie jitahidi kuwafuta machozi watu wa kigoma Ni msataafu jk,kikwete.
Wataalam wa historia mtanisaidia.
Hawa Sangara wametokea Ethiopia hasa kwenye mto nile unaoanzia Ethiopia..huko ziwa Victoria walipandikizwa tu...ndio mana wanaitwa nile perch.Migebuka ndio sangara. Walivyopandikizwa ziwa victoria ikatoka mbegu kubwa. Ziwa tanganyika hakina tope jingi chini kama ilivyo ziwa victoria
Tuchukue hoja ipi mana wachangiaji wengi wanasema ni ngumu kuwapata na kuwavua kwa sababu ya nature ya ziwa Tanganyika wewe unasema ni wengi na nirahisi kuwavua.Sababu wanapatikana kwa wingi tena kwa wepesi