Nimekufuatilia sanaa. Comments zako zina walakini mkubwa.Niko darasa la tatu...
Kwanini awe yeye na si Msigwa,Lema,Ester Matiko au Sugu au Mzee au Lowassa au Sumaye au hata msemaji wa Chadema?
Kule angebaki hata Mke wa kafulila Mbunge wa vitu Maalum maana anajua hata Lissu anakula chakula gani cha asili ni msingida mwenzake.Ila Mbowe ukianza kuwaza kuvuka mstari fulani, kuna maswali ya kumhusu katika hili maana du, kakaba kila kona kulikoni.
Weka vigezo basi if you think you have the power to remove odontoid process from Foramen magnum.Nimekufuatilia sanaa. Comments zako zina walakini mkubwa.
Itoshe tu kusema kuwa hili jukwaa siyo size yako; linakuzidi kimo. Hustahili kuwa humu
Mkuu umesahau kuwa mchawi akishafanya mambo yake huwa analia kuliko hata wafiwa? Watu waliokulia vijijini wanafahamu hilo. Pia wanahakikisha wanambana Lissu kwa nguvu zote ili asije kushtuka. Hawampi nafasi hata ya kutafakari. Kwetu wanasema ukiona nyuki kawa mkali sana ujue ana asali. Kuna jambo linafumbwa hapo. Wenye akili tushashtuka tayari.Nimemuongalia na kumsikiliza Jana Mh Mbowe alipokuwa anasema kuwa hakuna mtu yoyote anaruhusiwa kutoa za Tundu Lissu isipokuwa yeye tu aidha akiwa Nairobi au Dar es salaam inaonyesha Kuna jambo ameliona.
Lakini kwanini tunafikiri ameamua hivyo?
Familia yake Tundu Lissu waharuhusiwi kusema chochote nao kuhusu ndugu yao?
Hata Mke wa Tundu Lissu hatakiwi kabisa kuhojiwa na kueleza hali ya mime wake?
Uongozi wa Bunge hsurusiwi kusema chochote kuhusu Tundu Lissu?
TLS hawarusiwi kabisa kuongolea kuhusu Rais wao Tundu Lissu?
Au Mbowe alikuwa na maana tofauti kuhusu kuongea hali ya Tundu Lissu huko Nairobi?
OkMkuu umesahau kuwa mchawi akishafanya mambo yake huwa analia kuliko hata wafiwa? Watu waliokulia vijijini wanafahamu hilo. Pia wanahakikisha wanambana Lissu kwa nguvu zote ili asije kushtuka. Hawampi nafasi hata ya kutafakari. Kwetu wanasema ukiona nyuki kawa mkali sana ujue ana asali. Kuna jambo linafumbwa hapo. Wenye akili tushashtuka tayari.
Ushauri tu kwa jopo la wabunge wa Chadema katika utaratibu wa kumuuguza Tundu Lissu huko Nairobi kama chama nadhani ni vema wangepanga ratiba kwa kila Mbunge kwa jinsi atakavyomjalia kuliko siku zote muuguzaji awe ni Mwenyekiti wa chama tu Mh Freeman Mbowe.
Nadhani mgonjwa akipata waaguzaji tofauti ile monotonous inapungua na anakuwa anapata mawaidha tofauti kisaikolojia.
Ni ushauri tu kwa jopo la wanachadema ili Mh Mbowe naye asiwe mbali na familia yake kwa muda mrefu.