Kwanini Mh Mbowe analazimisha kuwa msemaji mkuu wa kila linaloendelea Nairobi kuhusu Tundu Lissu?

Ili kuwe na Taarifa moja Rasmi. Sio nyie mara Mkuu wa Majeshi, Mara Ummy Mwalimu, mara Jaji mkuu, mara Ndugai
Hahaha.......Mara Dr Abbas....
Alafu awatoi taarifa ya yule mgonjwa wao kala risasi tano then kesho yake anaagiza aletewe ugali wa Dona na Maharage......
 
Kwa taarifa yako,masuala yote ya Lissu familia yake Imeridhia Mbowe ndio awe msemaji..

Au ulitaka Bashite ndio awe msemaji??

Acha kujidhalilisha, upo mtupu kabisa..

Jaribu kujisitiri kidogo.
MENGELENI KWETU, ningependa kujua wewe ni mtu wa aina gani kwa jinsi unavyopenda kuchangia pasipo na hoja na ukitumia mara zeto neno hilo la kujidharilisha. Huoni kwamba wewe ndio unajidharilisha.

Km Bashite anaingiaje kwenye hoja katika bandiko kuu! Hoja hizo ni nzito, kwa kuwa makundi yaliyotajwa yanahusika kwa karibu kabisa na Mh Lissu, na ina watu wenye sifa za kusemea hali ya mgonjwa. Na isitoshe kauli kuhusu hali ya mgonjwa, hadi sasa, zimekuwa zikitolewa na viongozi wa CHADEMA na vyama vya upinzani, tena za kukanganya. Yawezekana labda kuna jambo!
 
Wauaji mnahangaika sana kuanzisha nyuzi za kuhamisha magoli lakini Jana Mh. Mbowe kàpigilià msumari wa mwisho.
Kwanini anang'ang'ania ya Lissu kwani Chama hakina msemaji? Au Tundu Lissu hana familia? Au Hospital haina msemaji?
 
kuna watu wana lugha chafuuu hawafai kushika dola sasa mwenzenu kauliza tu nawala hajatoa lugha chafu nyinyi moja kwa moja ni matusi tuu utazani gala la majitaka. sasa hapo ndio napata picha kuna kitu nyuma ya pazia la ugonjwa.
I love u kwa comment yako kabisa.Yaani ni matusi hawa watu kila comment... Hata sijui ni maana yake.Labda wewe watakusikia.
 
Kwani hukumsikiliza vizuri? Kwani hukuona tunapata taarifa nyingi zenye mkanganyiko? Yupo sahihi tunataka kujua tumsikilize nani ili tuweze kuelewa vizuri.
Point yangu kwanini awe yeye na si mwingine?
 
Nimemuongalia na kumsikiliza Jana Mh Mbowe alipokuwa anasema kuwa hakuna mtu yoyote anaruhusiwa kutoa za Tundu Lissu isipokuwa yeye tu aidha akiwa Nairobi au Dar es salaam inaonyesha Kuna jambo ameliona.

Lakini kwanini tunafikiri ameamua hivyo?

Familia yake Tundu Lissu waharuhusiwi kusema chochote nao kuhusu ndugu yao?

Hata Mke wa Tundu Lissu hatakiwi kabisa kuhojiwa na kueleza hali ya mime wake?

Uongozi wa Bunge hsurusiwi kusema chochote kuhusu Tundu Lissu?

TLS hawarusiwi kabisa kuongolea kuhusu Rais wao Tundu Lissu?

Au Mbowe alikuwa na maana tofauti kuhusu kuongea hali ya Tundu Lissu huko Nairobi?
Ingekuwa nzuri sana kama ungempeleka Baba yako awe msemaji mkuu .kama unaona kamanda mbowe hafai
 
Ulitaka upewe ww uwe msemaji?tumia akili japo kdg tu kiwango cha darasa la tatu tu usiende mbali maana ujinga uliopost ni wa kiwango unachokijua mwenyewe labda green. Umeona wapi kuna utaratibu wa kitaifa wa kupata msemaji wa taasisi fulani?
Niko darasa la tatu...
 
Nimemuongalia na kumsikiliza Jana Mh Mbowe alipokuwa anasema kuwa hakuna mtu yoyote anaruhusiwa kutoa za Tundu Lissu isipokuwa yeye tu aidha akiwa Nairobi au Dar es salaam inaonyesha Kuna jambo ameliona.

Lakini kwanini tunafikiri ameamua hivyo?

Familia yake Tundu Lissu waharuhusiwi kusema chochote nao kuhusu ndugu yao?

Hata Mke wa Tundu Lissu hatakiwi kabisa kuhojiwa na kueleza hali ya mime wake?

Uongozi wa Bunge hsurusiwi kusema chochote kuhusu Tundu Lissu?

TLS hawarusiwi kabisa kuongolea kuhusu Rais wao Tundu Lissu?

Au Mbowe alikuwa na maana tofauti kuhusu kuongea hali ya Tundu Lissu huko Nairobi?
Tuliza kipago Bashite
 
Unahangaika sana side, una mkia?
Mbaya zaidi kila uandikacho ni pumba, kiki unaitafuta jukwaa la watu wenye shule zao,unahangaika sana lakini nadhani utaacha mwenyewe.

Kwani hujui nafasi na mamlaka ya Mbowe kwenye taasisi? Kwani umeambiwa kua familia haitasema chochote? Muda wao wa kusema umefika? Unatska kywapangia lini waseme?

Mbowe ni kiungo muhimu sana mpaka kufikia hali ya Lissu kutengamaa.
Atupe mchanganuo wa matumizi ya kila siku
 
Nimemuongalia na kumsikiliza Jana Mh Mbowe alipokuwa anasema kuwa hakuna mtu yoyote anaruhusiwa kutoa za Tundu Lissu isipokuwa yeye tu aidha akiwa Nairobi au Dar es salaam inaonyesha Kuna jambo ameliona.

Lakini kwanini tunafikiri ameamua hivyo?

Familia yake Tundu Lissu waharuhusiwi kusema chochote nao kuhusu ndugu yao?

Hata Mke wa Tundu Lissu hatakiwi kabisa kuhojiwa na kueleza hali ya mime wake?

Uongozi wa Bunge hsurusiwi kusema chochote kuhusu Tundu Lissu?

TLS hawarusiwi kabisa kuongolea kuhusu Rais wao Tundu Lissu?

Au Mbowe alikuwa na maana tofauti kuhusu kuongea hali ya Tundu Lissu huko Nairobi?
Nadhani kuna mambo mabaya ameyaona na ndio maana ameamua kufanya hivyo ili kuondoa contradiction zisizo na maana.... Bila kufanya hivyo, kila siku tungekuwa tunasikia habari za kutuchanganya.... Leo ungesikia ummy MWALIMU kasema hivi.... Kesho ungesikia job ndugai nae kasema yake.... CJ nae atasema yake.... Katibu wa bunge pia.... Kwann hayo yote yatokee wakati tuna uwezo wa kuyazuia
 
Wewe hauna lolote mbowe mmesha mkosa nyie kwan ww ulitaka kila mtu aende na smartphone yake apige picha lissu na kusambaza kama kwa nani!!!!!!!!
 
Nadhani kuna mambo mabaya ameyaona na ndio maana ameamua kufanya hivyo ili kuondoa contradiction zisizo na maana.... Bila kufanya hivyo, kila siku tungekuwa tunasikia habari za kutuchanganya.... Leo ungesikia ummy MWALIMU kasema hivi.... Kesho ungesikia job ndugai nae kasema yake.... CJ nae atasema yake.... Katibu wa bunge pia.... Kwann hayo yote yatokee wakati tuna uwezo wa kuyazuia
May be mkuu
 
Back
Top Bottom