Kwanini Mh Mbowe analazimisha kuwa msemaji mkuu wa kila linaloendelea Nairobi kuhusu Tundu Lissu?

Ila Mbowe ukianza kuwaza kuvuka mstari fulani, kuna maswali ya kumhusu katika hili maana du, kakaba kila kona kulikoni.
 
Ila Mbowe ukianza kuwaza kuvuka mstari fulani, kuna maswali ya kumhusu katika hili maana du, kakaba kila kona kulikoni.
Kule angebaki hata Mke wa kafulila Mbunge wa vitu Maalum maana anajua hata Lissu anakula chakula gani cha asili ni msingida mwenzake.
 
Nimekufuatilia sanaa. Comments zako zina walakini mkubwa.

Itoshe tu kusema kuwa hili jukwaa siyo size yako; linakuzidi kimo. Hustahili kuwa humu
Weka vigezo basi if you think you have the power to remove odontoid process from Foramen magnum.
 
Mbona wewe ni Msemaji mkuu wa BASHITE lakini huulizwi na mtu? William Malecela aka Lemutuz, acha hizo. Live and let live!
 
Unataka aseme nani na yeye ndiyo kiongozi na alikuwepo huko,mwambie basi bahasha wako aseme.
 
Nimemuongalia na kumsikiliza Jana Mh Mbowe alipokuwa anasema kuwa hakuna mtu yoyote anaruhusiwa kutoa za Tundu Lissu isipokuwa yeye tu aidha akiwa Nairobi au Dar es salaam inaonyesha Kuna jambo ameliona.

Lakini kwanini tunafikiri ameamua hivyo?

Familia yake Tundu Lissu waharuhusiwi kusema chochote nao kuhusu ndugu yao?

Hata Mke wa Tundu Lissu hatakiwi kabisa kuhojiwa na kueleza hali ya mime wake?

Uongozi wa Bunge hsurusiwi kusema chochote kuhusu Tundu Lissu?

TLS hawarusiwi kabisa kuongolea kuhusu Rais wao Tundu Lissu?

Au Mbowe alikuwa na maana tofauti kuhusu kuongea hali ya Tundu Lissu huko Nairobi?
Mkuu umesahau kuwa mchawi akishafanya mambo yake huwa analia kuliko hata wafiwa? Watu waliokulia vijijini wanafahamu hilo. Pia wanahakikisha wanambana Lissu kwa nguvu zote ili asije kushtuka. Hawampi nafasi hata ya kutafakari. Kwetu wanasema ukiona nyuki kawa mkali sana ujue ana asali. Kuna jambo linafumbwa hapo. Wenye akili tushashtuka tayari.
 
Ok
 
Ushauri tu kwa jopo la wabunge wa Chadema katika utaratibu wa kumuuguza Tundu Lissu huko Nairobi kama chama nadhani ni vema wangepanga ratiba kwa kila Mbunge kwa jinsi atakavyomjalia kuliko siku zote muuguzaji awe ni Mwenyekiti wa chama tu Mh Freeman Mbowe.

Nadhani mgonjwa akipata waaguzaji tofauti ile monotonous inapungua na anakuwa anapata mawaidha tofauti kisaikolojia.

Ni ushauri tu kwa jopo la wanachadema ili Mh Mbowe naye asiwe mbali na familia yake kwa muda mrefu.
 
Huchoki kumsema Lisu?

Kipindi Ndugai anaumwa wabunge wa CCM walikuwa na zamu ya kwenda kuuguza?
 
Ushauri tu kwa jopo la wabunge wa Chadema katika utaratibu wa kumuuguza Tundu Lissu huko Nairobi kama chama nadhani ni vema wangepanga ratiba kwa kila Mbunge kwa jinsi atakavyomjalia kuliko siku zote muuguzaji awe ni Mwenyekiti wa chama tu Mh Freeman Mbowe.

Nadhani mgonjwa akipata waaguzaji tofauti ile monotonous inapungua na anakuwa anapata mawaidha tofauti kisaikolojia.

Ni ushauri tu kwa jopo la wanachadema ili Mh Mbowe naye asiwe mbali na familia yake kwa muda mrefu.

Lengo lako nini?

Mbowe na familia yake vinakuhusu nini?

Kama familia hiyo ingelikuwa na thamani, bila shaka msingetaka kumpeleka kusikojulikana kupitia mabomu soweto.

Shamba lake Hai msingelisasambua na msingemnyang'anya gari la kazi ili afanye kazi vizuri na kutunza hiyo familia.

Afya na kuuguzwa kwa Tundu Lisu kunakuhusu nini?

Kama ungetaka Lisu awe mzima wa Afya bila shaka msingekuwa mnamsingizia makosa kibao na kumnyanyasa kwa miaka 15 sasa.

Bila shaka mngemsikiliza kila alipowaonya kuhusu wizi wa kimitakaba unaolitesa taifa hadi leo.

Na mngemsikiliza anapowashauri njia sahihi za kutatua makosa ya mikataba mliyoyafanya badala ya kumgeuzia kibao na kumfanya namna ile eti muepukane na fedheha kwa kuwa anasema kweli.

Mgefuatilia na kufanyia kazi taarifa aliyoitoa juu ya hatihati ya uhai wake na watu walikuwa wakimfuatilia.

Baada ya kum TunduLisu, bila shaka mgewahi kumchukua na kumpa hauduma za haraka hospital badala ya kusubiri masaa mawili yapite ndipo mrespond. Na msingemnyima hela za matibabu hadi anachangiwa na watu mifukoni utadhani ni za kwenu.

Ajabu mnakuja kutaka kumtibu siku 14 baada ya ku Tundu Lisuiwa, siyo kwamba ninyi ndio watuhumiwa wa kwanza mnaotahayarika na kujibaraguza tu?

KWA MISINGI HIYO, NINAONA YAFUATAYO:-

Mbowe ni tishio kwa kila mlitakako na hivyo mnachoktamani ni kumwondoa chadema ama kumvuruga kwa kushambulia kila alifanyalo. Tunawafahamu.

Mmepata mmoja wa watu ama mtu aliyefika bei sasa mmeambiwa kwa umakini wa Mbowe, mipango yenu haitawezekana hivyo mnataka aondoke kule ili ikifika zamu ya huyo mnayempanga, mfanikishe lengo lenu.

KUMBUKENI:-
MUNGU YUKO HAI MILELE.
MUNGU HANA UPENDELEO KAMA NINYI MNAODHANI MNA MAMLAKA H ADI KWENYE PUMZI ZA WATU WANAOZIVUTA.
IKO SIKU MTAITWA HUKUMUNI KUJIBU HAYA MYAFANYAYO SIRINI.

NIMEKUONYA!
 
Back
Top Bottom