Kwanini Mh Mbowe analazimisha kuwa msemaji mkuu wa kila linaloendelea Nairobi kuhusu Tundu Lissu?

hili nalo linakupa shida na kukufanya usilale? unataka uitwe wewe? mbona kuna mambo ya msingi ya kufikiria ila wewe umeamua kulia na mbowe tu kila siku? dada una mimba yake? why uwe na chuki kiasi hicho?

Nimemuongalia na kumsikiliza Jana Mh Mbowe alipokuwa anasema kuwa hakuna mtu yoyote anaruhusiwa kutoa za Tundu Lissu isipokuwa yeye tu aidha akiwa Nairobi au Dar es salaam inaonyesha Kuna jambo ameliona.

Lakini kwanini tunafikiri ameamua hivyo?

Familia yake Tundu Lissu waharuhusiwi kusema chochote nao kuhusu ndugu yao?

Hata Mke wa Tundu Lissu hatakiwi kabisa kuhojiwa na kueleza hali ya mime wake?

Uongozi wa Bunge hsurusiwi kusema chochote kuhusu Tundu Lissu?

TLS hawarusiwi kabisa kuongolea kuhusu Rais wao Tundu Lissu?

Au Mbowe alikuwa na maana tofauti kuhusu kuongea hali ya Tundu Lissu huko Nairobi?
 
Lengo lako nini?

Mbowe na familia yake vinakuhusu nini?

Kama familia hiyo ingelikuwa na thamani, bila shaka msingetaka kumpeleka kusikojulikana kupitia mabomu soweto.

Shamba lake Hai msingelisasambua na msingemnyang'anya gari la kazi ili afanye kazi vizuri na kutunza hiyo familia.

Afya na kuuguzwa kwa Tundu Lisu kunakuhusu nini?

Kama ungetaka Lisu awe mzima wa Afya bila shaka msingekuwa mnamsingizia makosa kibao na kumnyanyasa kwa miaka 15 sasa.

Bila shaka mngemsikiliza kila alipowaonya kuhusu wizi wa kimitakaba unaolitesa taifa hadi leo.

Na mngemsikiliza anapowashauri njia sahihi za kutatua makosa ya mikataba mliyoyafanya badala ya kumgeuzia kibao na kumfanya namna ile eti muepukane na fedheha kwa kuwa anasema kweli.

Mgefuatilia na kufanyia kazi taarifa aliyoitoa juu ya hatihati ya uhai wake na watu walikuwa wakimfuatilia.

Baada ya kum TunduLisu, bila shaka mgewahi kumchukua na kumpa hauduma za haraka hospital badala ya kusubiri masaa mawili yapite ndipo mrespond. Na msingemnyima hela za matibabu hadi anachangiwa na watu mifukoni utadhani ni za kwenu.

Ajabu mnakuja kutaka kumtibu siku 14 baada ya ku Tundu Lisuiwa, siyo kwamba ninyi ndio watuhumiwa wa kwanza mnaotahayarika na kujibaraguza tu?

KWA MISINGI HIYO, NINAONA YAFUATAYO:-

Mbowe ni tishio kwa kila mlitakako na hivyo mnachoktamani ni kumwondoa chadema ama kumvuruga kwa kushambulia kila alifanyalo. Tunawafahamu.

Mmepata mmoja wa watu ama mtu aliyefika bei sasa mmeambiwa kwa umakini wa Mbowe, mipango yenu haitawezekana hivyo mnataka aondoke kule ili ikifika zamu ya huyo mnayempanga, mfanikishe lengo lenu.

KUMBUKENI:-
MUNGU YUKO HAI MILELE.
MUNGU HANA UPENDELEO KAMA NINYI MNAODHANI MNA MAMLAKA H ADI KWENYE PUMZI ZA WATU WANAOZIVUTA.
IKO SIKU MTAITWA HUKUMUNI KUJIBU HAYA MYAFANYAYO SIRINI.

NIMEKUONYA!
Tabby Tabby Tabby pole sana kwa huzuni hiyo kila mmoja anahuzunika ingawa kibinadamu kila mmoja ana level ya huzuni na masikitiko.

Hakuna mwenye nia ovu juu ya Tundu Lissu wala Mbowe kama unavyofikiria.

Mbowe ni ndugu yetu na Tundu Lissu ni ndugu yetu na wote ni watanzania halisi.

Tatizo letu na tofauti yetu ni mtazamo tu lakini wote malengo ni kuijenga Tanzania.

India shaka na hofu kabisa hii ni nchi yetu ndugu kwani tuishi kwa kutoaminiana.

Tufuata tu taratibu na sheria za nchi yetu tusiige mambo ya watu na tusitumiwe na watu kwa manufaa yao tujitambue sisi wenyewe kwanza.

Get well Tundu Lissu
 
I wish nia yako ingelikuwa inathibitiska hta kwa wale wanao vunja sheria na katiba ya nchi kwa ubabe, kuteka watu na kuwaua kisha kudoroza uchunguzi na kutokuwachukuliwa hatua waharifu wa kisiasa. Wale wanaoamua kufana maovu dhidi ya ubinadamu w atu wengine kwa kuwa tu kiongozi fulani atawalinda hata wakikosea chini ya misingi ya itikadi za kisiasa.

Wale walio tayari kupoteza watu kwa sababu ya kutokutaka kuonekana namna gani walivyo wa hovhyo kwenye maamuzi yao, namna wanavyoliangamiza taifa na wasiotaka kushauriwa nini ni sahihi kufanyika.

Kwa sasa hali ilivyo, tusidanganyane. Nchi imejaa hofu ya umwagaji damu na udharimu. Hakuna mwenye amani ya kweli zaidi ya unafiki na hofu. Hakuna aliye na uhakika wa usalama wake na watu wanaomhusu. Wasiwasi umetanda kila kona kwa watu wote isipokuwa ccm tu waliojimilikisha nchi na wenye uhuru na haki ya kufanya lolote dhidi ya binadamu wengine.

NANI HAONI?

Ahsante kwa faraja.
 
Wameacha kuongea umeenda kufungua uzi mwingine ukilalamika kuwa mbona kimya bila ya update
Kwahiyo ile pressure ya kutaja kujua hali Tundu Lissu imeisha kwa wapenda amani? Nimefungua baada kuona kimya kimetanda.
 
I wish nia yako ingelikuwa inathibitiska hta kwa wale wanao vunja sheria na katiba ya nchi kwa ubabe, kuteka watu na kuwaua kisha kudoroza uchunguzi na kutokuwachukuliwa hatua waharifu wa kisiasa. Wale wanaoamua kufana maovu dhidi ya ubinadamu w atu wengine kwa kuwa tu kiongozi fulani atawalinda hata wakikosea chini ya misingi ya itikadi za kisiasa.

Wale walio tayari kupoteza watu kwa sababu ya kutokutaka kuonekana namna gani walivyo wa hovhyo kwenye maamuzi yao, namna wanavyoliangamiza taifa na wasiotaka kushauriwa nini ni sahihi kufanyika.

Kwa sasa hali ilivyo, tusidanganyane. Nchi imejaa hofu ya umwagaji damu na udharimu. Hakuna mwenye amani ya kweli zaidi ya unafiki na hofu. Hakuna aliye na uhakika wa usalama wake na watu wanaomhusu. Wasiwasi umetanda kila kona kwa watu wote isipokuwa ccm tu waliojimilikisha nchi na wenye uhuru na haki ya kufanya lolote dhidi ya binadamu wengine.

NANI HAONI?

Ahsante kwa faraja.
Ni matumaini yangu kila mmoja ana AMANI tu so far kama huna shida yoyote unaendana na taratibu za nchi na sheria zake,unapata mapato yako halali,humdhulumu mtu Kwanini uwe na hofu?

Ila mara nyingi tuna sema usalama kwanza na usalama unaanza na Mimi unaanza na wewe mahali pako ofisini,nyumbani au popote pale hilo ni la msingi sana.
 
Mbowe ni dikteta anawaamurisha kila kitu, muulize Zitto Kabwe chanzo kufukuzwa ilikuwa anataka kukaa juu ya Mbowe. Muulize Mbowe amekalia hicho kiti kwa muda gani? na anampango wa kukiachia lini kama utapata majibu yake
 
Nimemuongalia na kumsikiliza Jana Mh Mbowe alipokuwa anasema kuwa hakuna mtu yoyote anaruhusiwa kutoa za Tundu Lissu isipokuwa yeye tu aidha akiwa Nairobi au Dar es salaam inaonyesha Kuna jambo ameliona.

Lakini kwanini tunafikiri ameamua hivyo?

Familia yake Tundu Lissu waharuhusiwi kusema chochote nao kuhusu ndugu yao?

Hata Mke wa Tundu Lissu hatakiwi kabisa kuhojiwa na kueleza hali ya mime wake?

Uongozi wa Bunge hsurusiwi kusema chochote kuhusu Tundu Lissu?

TLS hawarusiwi kabisa kuongolea kuhusu Rais wao Tundu Lissu?

Au Mbowe alikuwa na maana tofauti kuhusu kuongea hali ya Tundu Lissu huko Nairobi?

We unatakaje???

Unataka bashite ndio awe msemaji
 
Unataka upewe wewe kuwa msemaji mkuu ?
 
tramadol nia yako ni nini mbona mada zako kwenye kila thread yako unamuwazia mabaya voice yetu lissu...mimi na wewe voiceless
 
Nimemuongalia na kumsikiliza Jana Mh Mbowe alipokuwa anasema kuwa hakuna mtu yoyote anaruhusiwa kutoa za Tundu Lissu isipokuwa yeye tu aidha akiwa Nairobi au Dar es salaam inaonyesha Kuna jambo ameliona.

Lakini kwanini tunafikiri ameamua hivyo?

Familia yake Tundu Lissu waharuhusiwi kusema chochote nao kuhusu ndugu yao?

Hata Mke wa Tundu Lissu hatakiwi kabisa kuhojiwa na kueleza hali ya mime wake?

Uongozi wa Bunge hsurusiwi kusema chochote kuhusu Tundu Lissu?

TLS hawarusiwi kabisa kuongolea kuhusu Rais wao Tundu Lissu?

Au Mbowe alikuwa na maana tofauti kuhusu kuongea hali ya Tundu Lissu huko Nairobi?
Basi tunaomba we ndy uwe msemaji wa lissu

Ova
 
Boss tramadol Miluzi mingi, ..... malizia !!!

Tafadhali usipotoshe ndugu Tramadol. Mbowe kusema atazungumza/atatoa taarifa yeye ni kutokana na muktadha mzima wa tukio lile. Sio kila siku ni siku ya dharura, na maisha sio kukariri......kwa hiyo hali ilivyo na jinsi ambayo baadhi ya watu na hasa mihimili ya dola ilivyo lichukua tukio zima la Mh. Lissu ni budi sana kutumika njia aliyoianisha Mbowe.

Wengine badala ya kwanza kushughulika kumtibu Lissu wakaona hiyo ni fursa ya kupata kiki zao na wengine ndio fursa ya kuunanga upinzani, mastaajabu makubwa sana!
 
Ni matumaini yangu kila mmoja ana AMANI tu so far kama huna shida yoyote unaendana na taratibu za nchi na sheria zake,unapata mapato yako halali,humdhulumu mtu Kwanini uwe na hofu?

Ila mara nyingi tuna sema usalama kwanza na usalama unaanza na Mimi unaanza na wewe mahali pako ofisini,nyumbani au popote pale hilo ni la msingi sana.

Mnatafuta kusema Tundu Lisu alikuwa anafuatwa na wale maharamia kwa kuwa alikuwa amewadhurumu? Hao wanaopotea kama Ben Saanane na wanaotishiwa maisha mpaka sasa, na kukamatwa ovyo, kudhalilishwa na kunyimwa haki zao za kibinadamu ni wadharimu? Wamemdhurumu nani? Wanaokutwa kwenye viroba mmeshawahukumu kwamba ni dhurumati? Huyo mzee wa Zanzibar Cuf aliyekuja kamatwa na polise usiku anaenda kukatwa katwa na kuachwa afe porini baadaye akaja kufia hospital ya mnazi mmoja, mbona hamkumwambia kama ni mdhurumaji, badala yake aliambiwa tu anataka kupindua serikali.

By the way, katika hao wadhurumaji na wahaini kwa mujibu wenu, ni sheria gani inayosema muwaue bila hata kuwapeleka mahakamani? Juzi Peter Msigwa amepona kuuliwa na makada wa CCM hadharani kama vile alivyotaka kuuliwa Tundu Lisu. Nani kawapa haki CCM ya kuhukumu watu na kuwaua bila kufuata sheria?

Kuna watu wadhurumaji kuliko wale wanao dhurumu haki za watu za kuishi kwa utashi na maslahi yako binafsi? Tulipopata uhuru kutoka kwam Malkia, hatukuandika katiba ili ituongoze wote kulishi kwa amani kama taifa? Iko wapi nguvu ya katiba na sheria za nchi? CCM wanachukua madaraka ya kuua watu kwa kiburi hadharani, katiba ipi imewapa mamlaka hayo?

Kuna wanaostahili hukumu kali kupita hata hizi zaidi ya wale waliolifikisha taifa mahala pa giza kama hapa na halafu hawataki watu waseme wala wajue?

NINAOMBA UTAFAKARI KAMA UNAZAA AU UMEZAA WATOTO. KAMA WEWE NI TASA HUNA UZAZI UNATEMBEA NA TUMBO LAKO TU KWAMBA UKIFA BASI IMEKWISHA, ENDELEA NA UNACHOKIFANYA HAPA CHA KUPOTOSHA UKWELI ULIO WAZI.

MUNGU ANAISHI!.
 
Back
Top Bottom