Kwanini Mende hafi kwenye Microwave??


Heat transfer ndani ya cabinet ya microwave haifuate zile njia 3,huh? Kwamba hakuna convection wala radiation, eh? Kwa hiyo joto linajirundika sehemu moja tu kama rundo la mchanga,huh! I don't think so.

Na kama exoskeleton ni resistant kwa microwave radiation, je kama kuna chakula ndani haliwezi kupata joto hadi kufika degrees za kumdhuru mende kwa ile physical contact with hot air ndani ya cabinet? I don't so.
 



Labda niweke hivi: Mionzi iliyopo kwenye microwave imekuwa "Tuned" ili kusababisha molecule za maji kuchomeka hatimae kuchemsha kitu... Hiyo mionzi husababisha "Vibration" katika molecule kwenye vyakula venye maji maji, kuleta msuguano hatimae kutengeneza joto... Katika mwili wa mende kuna kiwango kidogo sana sana cha maji, ndiyo maana mende anaweza kushi muda mrefu ndani ya mionzi ya microwave na asidhurike...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…