Kwanini Membe & Co. hawammalizi kisiasa Rais Magufuli?

huo ni ujinga na ukosefu wa akili na adabu over
 
Tundu Lisu hahitaji majira, anapata shida kujitetea huko kwa Muzungu, hivyo hakuna wakati ambapo angehitaji ushahidi wa kuhusika kwa Serikali yetu kama sasa, kwani angepeleka hata UN huo ushahidi kama angekuwa nao.

Apeleke huo ushahidi asipeleke huko unakosema, ila sisi watanzania tunajua jiwe ndio muhusika fullstop.
 
Serikali inavyotafuta sifa+kuua upinzani

Wangekua CDM ndo wamemuua, siwangehakikisha wanawajua nakuwakamata wote walohusika???

CDM inanguv gan ya kuuficha ukweli wa tukio kama lile?????

Upinzani umejiua wenyewe, ati Serikali iwaume, kwani mko hai? Nicheke mie, nyie nendeni mkazike chama ambacho kiko kwenye jeneza tayari. Sisi tunaangalia mbele kwenye nchi yenye neema ambayo amri yake ya kwanza ni moja tu. Hapa kazi Tu.
 
Lissu hana shida yeyote.... wenye shida ni wale waliomnyima haki zake wakidhani angepata shida lakini sasa hivi hofu zimewajaa hawajui what's next!

Hofu unayo wewe unayewewesekaweweseka kuandika hapa JF. Tanzania ni nchi huru wewe endelea na majungu. Ushahidi huna umekalia majungu, wenzio tunajenga nchi.
 
Chadem badala ya kujenga chama imara cha upinzani wamekalia kuhujumu ruzuku waliyokuwa wanapata wakati kazi kubwa alifanya Dr. Slaa. 2020 ruzuku yao itashuka kutokana na kutoka kapa kwenye wabunge watabaki na 2% ya ruzuku. wamekalia kupiga majungu JF wanafikiri yatawasaidia, on your dreams. Tanzania ni ya Watanzania wanaopenda maendeleo sio wapiga dili.
 
Hofu unayo wewe unayewewesekaweweseka kuandika hapa JF. Tanzania ni nchi huru wewe endelea na majungu. Ushahidi huna umekalia majungu, wenzio tunajenga nchi.
wewe unajenga nchi au umekalia kukwiba tu?
rudisheni 1.5tr zetu or else....
 
wewe unajenga nchi au umekalia kukwiba tu?
rudisheni 1.5tr zetu or else....

Sasa hapa umeandika nini au hoja ni ipi? Usikariri tu hiyo 1.5 tr, unaifahamu? Wacha kuwewesekaweweseka tu. Majungu hayakufai umeshakuwa mkubwa sasa.
 
Sasa hapa umeandika nini au hoja ni ipi? Usikariri tu hiyo 1.5 tr, unaifahamu? Wacha kuwewesekaweweseka tu. Majungu hayakufai umeshakuwa mkubwa sasa.
1.5tr nitaifahamia wapi wakati Wakolomije wameikwiba tayari na wanagawana kama njugu?

tunawasubiri Wakolomije warudi mtaani 2020 watazitapika zote shubamit!!
 
1.5tr nitaifahamia wapi wakati Wakolomije wameikwiba tayari na wanagawana kama njugu?

tunawasubiri Wakolomije warudi mtaani 2020 watazitapika zote shubamit!!
Wacha porojo wewe, Hapa kazi tu!
 
Waliomshambulia TL ni Chadema wacha kupotosha, hata Wangwe walikuwa wamemuwekea njama tafakari?
Ninyi ndo wale mashabiki wa ccm mnaorusha mpr cdm kuwa ndo wamehuska kumshambulia TL

Shame on you
 
Ntoe ushahd wann wakat ata ww mwnyw unaujua

Chacha njomba unanisemea, ndio majungu yenyewe hayo, rudi kwenye sheria za hii forum, oooops kama mzee Mwanakijiji alivyokuwa anasema ''tujadili kwa hoja sio viroja''. Leta ushahidi wacha uchuro!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…