Kuna msemo fulani kuwa unaweza kwenda shule lakini usielimike,sasa nikiutafakari natambua dhahiri shahiri kuwa u-profesa wa Lipumba unamsaidia yeye tu na wala hana akili ya kung'amua fursa muhimu na wala kusoma alama za nyakati.Labda pengine ndiyo hata akawa msomi lakini maskini asiyeweza hata kuwa na familia au banda la kufuga kuku.
Kwa upande mwingine,ukimsikiliza na kumtazama Mbowe,unatambua kuwa the guy is smart hata kama ana vyeti vichache vya kielimu kuliko Lipumba(sasa si ndo kama akina Bill Gates siyo?) - vyeti vichache vya shule lakini akili nyingi kichwani,ndiyo maana ameweza kuwa na familia madhubuti na uchumi wa familia unaoeleweka
Wakati mwingi tufikiri hata na majina tuwaitayo watoto tunaowazaa - sasa Li-pumba maana yake si pumba nyingi kichwani ama!