Pomoja na kwamba ukada unaathiri thinking capacity ya watu but lazima tukubali kua mbowe ni jemedali wa siasa za upinzani nchini.Tena anaongoza chama chenye watu wanaojua kufikiri(great thinkers).Msiwe kama mashetani jaribu kuapreciate smtmes.Ni Zitto na ccm team wanaoweza kubeza uwezo wa mbowe.