Kwanini Mbowe hatunukiwi PhD ya heshima?

Kwanini Mbowe hatunukiwi PhD ya heshima?

Nawe unaitwa Dr ao Prof?
Gamba weeeee!

hivi phd wanapewa na watu vilaza walio score ZERO(0) form6???????? kweli bongo nyosso. hivi unajua maana ya doctorate???? ukute wewe mwenyewe ni form4 failures ndo maana unampigia chapuo,
 
Hakika umenena mwanzilishi wa hii mada ,he is very special on political area,aitwa dr Freeman mbowe
 
Mbowe anapoongea hatakama nilikuwa nafanya nn naacha nimsikilize kwanza kwan ongea yake duh aijapishana sana na mkapa
 
Hivi ulishawahi kuona darasa la saba akipewa u-doctorate wa heshima!!! Hebu acha kuchezea taaluma kijana
 
Hata akiitwa Dj kwa kubeza,
Hatakuwa Dj wa kwanza kuongoza nchi au kuwa mkuu wa chama cha siasa.
Andre Lajolina ni Rais Dj;vipi hapo?
 
afu wabongo bwana lipumba profesa kawasaliti dakika za mwisho mkampoonda et xa hv mnataka kumpa mbowe phd ili auze chama mara ya 2?
 
Back
Top Bottom