CONCRETE NAIL
Member
- Apr 18, 2015
- 22
- 9
Kuanzia sasa kila mmoja wetu na amuite Dr. Freeman Mbowe. Hakika itakuwa na anastahili. Jamaa ni very clever!
Mbowe mwaka huu atapaa sana tena sana, baada ya prof.lipumba kufanikiwa kununuliwa na ccm azile mageuzi
hivi phd wanapewa na watu vilaza walio score ZERO(0) form6???????? kweli bongo nyosso. hivi unajua maana ya doctorate???? ukute wewe mwenyewe ni form4 failures ndo maana unampigia chapuo,
To be honest the guy is ver brilliant,
Tanzania vilaza wanazidi kuongezeka kila siku.
nimekuwa najiuliza mara kwa mara kwa nini huyu kiongozi shupavu na mwenye misimamo imara hapewi digrii ya heshima kama mtu aliyeleta mchango mkubwa wa mapinduzi ya kisiasa hapa nchi?inaama hakuna chuo hata kimoja kilichoweza kutambua mchango wa huyu deep thinker more than many profs are? even though i'm not a prof i want to declare my interest that hon Freeman Mbowe i honor you a doctarate for change and from now you are going to be named as Dr Freeman Mbowe.karibu nawe umtunuku mh Mbowe
gamba at work
Kiukweli kwa haya tunayoyaona sasa, Mbowe ndiye mpinzani wa kweli katika wanasiasa wote wa upinzani.
Hivyo basi, atunikiwe PhD ya heshima.
Umeona eeh...?