Kwanini Mbowe hatunukiwi PhD ya heshima?

Mtoto wa mjini kwa kweli ni hustler. Division 0 sekondari lakini anavuta pesa ndeefu na kuwaburuza madaktari, maprofesa na mapadri. Kwa kweli hata akitunukiwa hiyo PhD ni sawa. Tena ikiwezekana atunukiwe pale Club Bilicanas huku disco la nguvu likiunguruma na kutetemesha wapenda mageuzi ya kweli wote nchini.
 

Atatunukiwa ya utapeli na wizi
 
Dah,acha utan mkuu,dj huyu huyu mchumia tumbo apewe phd ya heshima?😂😂😂 haiwez tokea,labda phd ya uropokaji

Gamba kazin

Bora huyu anaropoka vitu vya msingi vya kukomboa taifa letu

Kuliko. .......................
 
PhD yakupewa haina maana yoyote ndo maana Nyerere alikuwa anazikataa. Wapuuzi wasio penda kupigwa umande yaani kuingia darasani uzipenda sana hizi PhD kama dhaifu wetu j. .. .k
 
Ni kweli alistahili ila kitendo cha kuua upinzani kwa kumkaribisha Lowassa kimefuta Mazuri yake yote.
 
mbowe hajipendejezi kwa watawala hawawezi kumpa
 
ni kweli mkuu,jamaa infact is a good leader in political arena

Jamaa alitumia akiri nyingi sana kufikiri hasa alipoona dr magufuri kateuliwa maana agenda ya ufisadi ilikuwa haina nguvu kuwashawish wapiga kura kumkataa dr magufuri hivyo akabadili upepo na kwenda kwenye mfumo, duh kiukwel amefanikiwa na watz wameelewa sana hil jambo
kiukwel Mbowe ni mwanaharakati na wala si mwanasiasa msaka cheo
 
Minaona apewe tu mana hakuna namna yakulikwepa kutokana uwezo wa kuwatafakarisha kwa lazma akina Benson..
 
Dah,acha utan mkuu,dj huyu huyu mchumia tumbo apewe phd ya heshima????😂😂😂 haiwez tokea,labda phd ya uropokaji

Kweli majina huwa yanasadifu yaliyomo........ Muke ya Mtu ukiwa Umeuchanuaaaaaaa 😀
 
Mimi binafsi namuona ni role model wangu. This guy is super genius. Visionary and brave. Wewe mbowe ni mkali. Vizazi vitakukumbuka. Mapambano yaendelee
 
Mbowe ana nini cha maana ya kupiga dili kupitia chama cha mkwewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…