TataMadiba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 9,870
- 5,755
kwa elimu yake anaweza ku- surf kweli? anajua ku-login kwenye kompyuta?
Ni ajabu sana kwa dunia ya leo dunia ya utandawazi kwa M/Kiti wa Chama kushindwa kuwa karibu na jamii,Chama ambacho kinajinasibu kuwa ni Chama cha watu wanyonge.
Hoja ni M/Kiti wa CHADEMA kutafsirika vibaya kwa kutoonekana mitandaoni na wala sio kuhusu Baba kuwa kiongozi wa chama au la.
MBOWE anaweza akawa na vitu vingi vya kiuongozi lakini akapungukiwa UKARIBU,UKARIMU AU HEKIMA lakini kupitia mahusiano na mawasiliano mbalimbali ya kijamii tunaweza kujenga taswira.Point is nini kinachomkwaza?
kusema ukweli hii mitandao tunaitumia lakini ni mmojawapo wa nyenzo za kuchochea umasikini na kutowajibika. Maofisini,majumbani na vyuoni watu hawafanyi kazi muda mwingi wako kwenye mitandao.Hata Mimi mwenyewe napoteza muda hapa kuchangia hoja hii kwa sababu ya kutekwa na mitandao lakini sifaidiki na kitu chochote.Hali ni mbaya zaidi kwa Lumumba buku saba ambao hushinda humu na kukesha humu lakini malipo wanayolipwa ni kidogo mno na kuwafanya masikini. Kwa mtanzania anayejitambua kama Mbowe anaona ni upuuzi kushinda kwenye mitandao huku ana majukumu kibao ya kichama,kibiashara,kifamilia n.k.Kwa wale wanaotegemea siasa kuendesha maisha yao hawana biashara au miradi ya kiuchumi kama Zitto na Jamuari Makamba wanaweza kukesha kwenye mitandao kwa sababu hawana shughuli za kufanya baada ya kazi za ofisini.kwa elimu yake anaweza ku- surf kweli? anajua ku-login kwenye kompyuta?
Mkuu, katika dunia ya sasa tuache unafiki, nani sio mwanasiasa fuska? Clinton tu aliyekuwa Rais wa taifa kubwa duniani na ameliongoza kwa mafinikio alikuwa fuska. Kikwete mwenyewe ni rais wako naye ni fuska. Kinana nae fuska. Zuma wa South Afrika naye ni fuska. Rais wa swaziland naye ni fuska. Sarkozy nae ni fuska. Hutaki kuwa na wanasiasa mafuska HAMIA MAKKA au Vatcan. In real life hata kama tunaikataza ufuska ni sehemu ya maisha ya binadamu. Wengi humu wanaopiga makelele wenyewe wamezaliwa kwenye ufuska huo huo. Tuwe wakweli na dhamira zetu!
Chadema na Vyama vingine bado vinaitaji siasa za majukwaani kuliko za kwenye keyboard, ni watanzania wangapi kati ya watanzania 40M wana access na mitandao ya kijamii, na pia hao watu waliopo kwenye mitandao ya kijamii ndo wana uwezo wa kupata habari kupitia media zingine ,Kwa mantinki hiyo naona ni bora aendelee na hiyo njia ya nyuma ya mic na kuwafikia watanzania walio wengi .
haja zakitoto sana hivi kazi ya Hafisa habari niyanini kazi ya sisi wandishi huru niyanini? Kazi ya Molemo na Chadema Kwanza niyanini?
Nimejaribu kuuliza watu wengi kwamba kwanini Mwenyekiti wa Chadema hapatikani au ni nadra kumpata kwenye mitandao ya kijamii, ambayo imejaa wadau na wapenzi wengi wa siasa.
Nikapata majibu lakini sikuridhika nayo,wengine wakadai mkasa wa Chacha Wangwe utamtoa mchezoni,wengine wakadai eti jamaa hana falsafa nzuri ya uandishi yeye huwa ni mzuri anapokuwa nyuma ya Mic.
Nimeona nitupie hapa ili nifahamishwe kwaupana kwa wale wenye kumfahamu.
kwa elimu yake anaweza ku- surf kweli? anajua ku-login kwenye kompyuta?