Kwanini Mbowe hapatikani kwenye mitandao ya kijamii?

Kwanini Mbowe hapatikani kwenye mitandao ya kijamii?

View Profile: Freeman A. Mbowe
User Name: Freeman A. Mbowe
User Title: Junior Member
Last Activity: 3rd December 2006 23:53
Send a Message to Freeman A. Mbowe

Hivi kweli na huyu unaweza kumwita memba Wa JF kweli?????

Last activity ni 3rd December 2006.

Kuwa msukule inahitaji ujasiri kwelikweli!
 
Mbowe uwezo wa kuandika wenyewe hana sijui kwenye mitandao ya kijamii ataandika nini.

Naona tunasumbuliwa na watoto humu,watu wazima tunakumbuka jinsi mh mbowe alivyokuwa akiandika makala mbalimbali katika gazeti la RAI enzi za ubora wake miaka ya 90 hadi mwanzoni mwa miaka ya 2000
 
We ufuska umeona ishu? Wanasiasa wote ni mafuska tu.
Hata JK ana watoto wa nje ya ndoa zaidi ya 30
Kinana ndo kabisaaa anapapasa matiti ya wanawake hadharani
Mwigulu Nchemba alifumaniwa Igunga na mke wa mtu
Nape pamoja na kuwa na mke anazini na mtangazaji wa Channel ten
Akina Viki Kamata sina haja ya kuwaelezea
Kuna Mbunge wa CCM wa miaka 60 ametembea na kuzini na katoto ka miaka 22.
Niongeze?!
Usishangae ufuska kwa wanasiasa. Hata bosi wenu Zitto amezaa nje ya ndoa. Hata mama yako kama ni mwanasiasa usishangae ukimkuta na yeye ni FUSKA

Danh umeonesha uwezo mdogo sana wa kujenga hoja mbadala. . . . .kiwango duni sana mkuu
 
Aliye anzisha hii thread babayake yupo humu mbona sijawahi kumuona? Anatumia jina gani?


Ingekuwa vizuri ungetufahamisha kwanini Mwenyekiti wa Chama anaadimika mitandaoni,na kuhusu mambo ya Baba yangu anzisha uzi tutakuja kuchangia,lakini sisi kama wadau tunahaki ya kuhoji nini kinachomkwaza.
 
huko alimwachia zitto na kina diva na wema.yeye yupo kanda ya ziwaanapiga mzigo
 
Nimejaribu kuuliza watu wengi kwamba kwanini Mwenyekiti wa Chadema hapatikani au ni nadra kumpata kwenye mitandao ya kijamii, ambayo imejaa wadau na wapenzi wengi wa siasa.

Nikapata majibu lakini sikuridhika nayo,wengine wakadai mkasa wa Chacha Wangwe utamtoa mchezoni,wengine wakadai eti jamaa hana falsafa nzuri ya uandishi yeye huwa ni mzuri anapokuwa nyuma ya Mic.

Nimeona nitupie hapa ili nifahamishwe kwaupana kwa wale wenye kumfahamu.

Jk anapatikana?
 
Mbowe anapatikana kwenye vilabu vya viroba tu na kwenye madanguro kama bilcanas
 
Naye babake ni kiongozi wa chama gani??!!


Ni ajabu sana kwa dunia ya leo dunia ya utandawazi kwa M/Kiti wa Chama kushindwa kuwa karibu na jamii,Chama ambacho kinajinasibu kuwa ni Chama cha watu wanyonge.

Hoja ni M/Kiti wa CHADEMA kutafsirika vibaya kwa kutoonekana mitandaoni na wala sio kuhusu Baba kuwa kiongozi wa chama au la.

MBOWE anaweza akawa na vitu vingi vya kiuongozi lakini akapungukiwa UKARIBU,UKARIMU AU HEKIMA lakini kupitia mahusiano na mawasiliano mbalimbali ya kijamii tunaweza kujenga taswira.Point is nini kinachomkwaza?
 
Mitandao ya kijamii kama insta.... au FB hahaha then wakina Wema na Aunty wamfollow mhm hii ni shida mleta hoja.


Hio sio shida labda kama shida ipo kwa mbowe kama mbowe.kama utakubaliana na mimi Mbowe ni nadra kukutanishwa KWENYE MIDAHALO. KWAMFANO KAMA ITATOKEA Agostini Lyatonga Mrema akutanishwe na Mbowe.upo uwezekano wa Mwenyekitimbowe kugalagazwa na Mrema.
 
Danh umeonesha uwezo mdogo sana wa kujenga hoja mbadala. . . . .kiwango duni sana mkuu
Mkuu, katika dunia ya sasa tuache unafiki, nani sio mwanasiasa fuska? Clinton tu aliyekuwa Rais wa taifa kubwa duniani na ameliongoza kwa mafinikio alikuwa fuska. Kikwete mwenyewe ni rais wako naye ni fuska. Kinana nae fuska. Zuma wa South Afrika naye ni fuska. Rais wa swaziland naye ni fuska. Sarkozy nae ni fuska. Hutaki kuwa na wanasiasa mafuska HAMIA MAKKA au Vatcan. In real life hata kama tunaikataza ufuska ni sehemu ya maisha ya binadamu. Wengi humu wanaopiga makelele wenyewe wamezaliwa kwenye ufuska huo huo. Tuwe wakweli na dhamira zetu!
 
kwanza kichwani sidhani kama anaweza kujenga hoja. labda kama hujui ni kuwa huwezi kujua uelewa wa mtu mpaka afungue domo lake. sasa ili kuwa safe ni bora akae kimya. maana siku zote watu watamuona anazo za kutosha. mfano mzuri wa hivi karibuni ni wa yule kiongozi wa chadema dar aitwae henry kileo. hakuna hapo awali aliyeuwa anajua kuwa jamaa ni zero mpaka pale alipofunguka na kupost uzi mmoja humu uliokuwa ukihusu masilahi ya zaifa. jamaa alimkosoa rais lakini kama vile hakuamini kilichomtokea hata wafuasi wake walimnanga waziwazi bila chenga.
na hayo ndo anayoyaogopa mbowe.

Nimejaribu kuuliza watu wengi kwamba kwanini Mwenyekiti wa Chadema hapatikani au ni nadra kumpata kwenye mitandao ya kijamii, ambayo imejaa wadau na wapenzi wengi wa siasa.

Nikapata majibu lakini sikuridhika nayo,wengine wakadai mkasa wa Chacha Wangwe utamtoa mchezoni,wengine wakadai eti jamaa hana falsafa nzuri ya uandishi yeye huwa ni mzuri anapokuwa nyuma ya Mic.

Nimeona nitupie hapa ili nifahamishwe kwaupana kwa wale wenye kumfahamu.
 
So what Tofyo? Ili iweje? Ndiyo ujanja, au??

Kwa kuwa wewe uko ktk kila mtandao wa kijamii unajiona mjanja saaaana siyo? Sometimes we need to think first before posting anything in forums like this, otherwise utaishia kutukanwa tu bila sbb na kwa jambo ambalo ungeweza kuliepuka na kuishia kuwaona wanajukwaa wenzako si wastaarabu kumbe wewe ndiye uliyeanza kuutupa huo ustaatabu!!

Sawa, jukwaa hili ni huru na kila mtu ana uwezo na uhuru wa kutoa hoja yeyote ili mradi havunji sheria, lakini not this way!!

BTW, kwa nini usibgeanza na wale unaodhani wewe wamo ktk kila social media ambao wanairidhisha nafsi yako kwa uwepo wao kama vile baba yako, mama yako, dada/kaka zako na pengine akiwemo m/kiti na katibu wa chama chako CCM? CUF? ACT? ADC au NCCR Mageuzi? then uliza swali lako
 
Kama kumbukumbu zangu zitakuwa sahihi mbowe aliwahi kutamka kuwa hata kuwa akiandika tena kwenye mitandao ya kijamii hususani jf. Kuna Uzi wake upo, ilikuwa baada ya uchaguzi wa 2005. Upo jukwaa la siasa ama Kule kwa ma-greater thinker. Nimesoma makala zake kwenye magazeti ya Rai ya enzi za kina ulimwengu. Moja ya makala yake ilihusu. "Miaka 40 ya Uhuru tumerudi nyuma badala ya kusonga mbele". Jamaa alishusha nondo c mchezo.

Kwa kifupi jamaa anapita humu kama mgeni na ha-sign in.
 
Back
Top Bottom