Kwanini Mbowe hapatikani kwenye mitandao ya kijamii?

Kwanini Mbowe hapatikani kwenye mitandao ya kijamii?

So what Tofyo? Ili iweje? Ndiyo ujanja, au??

Kwa kuwa wewe uko ktk kila mtandao wa kijamii unajiona mjanja saaaana siyo? Sometimes we need to think first before posting anything in forums like this, otherwise utaishia kutukanwa tu bila sbb na kwa jambo ambalo ungeweza kuliepuka na kuishia kuwaona wanajukwaa wenzako si wastaarabu kumbe wewe ndiye uliyeanza kuutupa huo ustaatabu!!

Sawa, jukwaa hili ni huru na kila mtu ana uwezo na uhuru wa kutoa hoja yeyote ili mradi havunji sheria, lakini not this way!!

BTW, mama yako, dada/kaka zako na pengine akiwemo m/kiti na katibu wa chama chako CCM? CUF? ACT? ADC au NCCR Mageuzi? then uliza swali lako


Kuhusu kutukanwa kwasababu ya kuhoji UKARIBU WA M/KITI NA JAMII INAYOMZUNGUKA KUPITIA UTANDAWAZI ni sawa uonevu.
Kuhusu kuhoji nduguzangu uliowataja na viongozi wa vyama ulivyovitaja sio haja yangu.

HAJAYANGU NI, KWANINI MBOWE HAPATIKANI KWENYE MITANDAO YA KIJAMII.SWALI LINAWEZA KUWA DOGO LAKINI MAJIBUYAKE YAKAWA 1,2,3......9 n.k.
 
Una wivu wa kike wewe niviongozi wangap uwaoni kwenye nitandao umemona Mh Mbowe tu acha miemko leta hoja ya msingi
 
Una wivu wa kike wewe niviongozi wangap uwaoni kwenye nitandao umemona Mh Mbowe tu acha miemko leta hoja ya msingi


Suala sio wivu.na mada imewasilishwa vizuri sasa kama unamajibu tunayaomba ilikuondoa dhana mbaya.
Mwenyekiti wanamjaji kwa mambo mengi ikiwemo kuinyanyapaa jamii na bado MASAKATA MENGI AMEYAMEZA.

Shida ni nini kinamkwaza?
 
Mada ya mjinga hii. ujinga mpaka katika kufikiri ccm itawafeza vichaa.
 
Mada ya mjinga hii. ujinga mpaka katika kufikiri ccm itawafeza vichaa.


Mjinga ni yule anehojiwa mambo muhimu kisha akakosa majibu.Huu ni mwanzo tunauliza kwanini Mbowe anashindwa kuona umuhimu wa mitandao ya kijamii.
Lakini kwasababu umetaja ujinga ngoja nifunue kidogo Dr.Slaa nimeshamuona sehemu nyingi hata hapa jf nafikiri post za mwishomwisho ilikuwa baada ya kumpa Mashumbusi Password au naweza kusema Mashumbusi "KUTUMIA AKAUNT YA BABA"
lakini Slaa na mkewake wa hiari hatuwezi kusema ni wajinga .

Hapa juzi kidogo kumetokea tuhuma Mbowe na Slaa kutafuna pesa za blog ya chama,yaani CHADEMA BLOG.

Kama unakubali harakaharaka unaweza kusema pesa zililiwa na Mbowe au blog ilihujumiwa na mbowe ambae haoni umuhimu wa mitandao.

Na kama jibu likiwa ndio hilo la mwenyekiti kuhujumu blog ya chama na kuiona haina umuhimu itawezekanaje kwa mtu huyo kuipa umuhimu mitandao ya kijamii.

Mwisho unaweza ukajikuta unahitimisha kwamba mbowe anajihujumu mwenyewe kwa kujiweka mbali na jamii

Toa majibu Y
 
Mbowe anaingia sana mtandaoni ila ww zezeta nivigumu sana kung'amua kitu.
 
Mbowe anaingia sana mtandaoni ila ww zezeta nivigumu sana kung'amua kitu.

Kama upi? Nadra na kwanini ni maneno yaliokosa majibu .Jambo zuri kwa kiongozi mkubwa wa chama ni kuonyesha uwezowake kwa njia mbalimbali.Lakini anavyoendelea kupita mitandaoni kwa kuwatanguliza akina Tumaini Makene Ben Saanane na Yericko Nyerere anajijengea nidhamu ya kutojiamini(woga).
 
Last edited by a moderator:
Wanasiasa wengi hawapendi changamoto yaani hawataki kuwa questioned na mambo kama hayo si unaona hata JF wamejaa kwa fake IDs tu akiona upepo uko upande wake ndo anaingia kwa verified ID kuzuga.

Inshort hata hao waliojaa mitandaoni ukiwa challenge wanaku-block mara moja.

Kuhusu huyo jamaa sijui,labda na ...........ngeza
yanachangia.
 
Yupo sana humu ndani... madini yote muhimu huwa anayapata kupitia JF... Mbowe kama Putin! Bonge la Strategist ... CCM wanahaha kila kukicha kumwangusha lakini yeye amesimama kama Pillar lisiloweza kuangushwa kwa Bulldozer!!! ... Hana Price tag Mgongoni kama Mafisadi wa CCM na Mamluki wao ...
 
kwa huu ujinga wa mabuku 7 aje hapa jf kufanya nini?
 
Nakujibu ana majukumu mengi zaidi ya social network


nimejaribu kuuliza watu wengi kwamba kwanini mwenyekiti wa chadema hapatikani au ni nadra kumpata kwenye mitandao ya kijamii, ambayo imejaa wadau na wapenzi wengi wa siasa.

Nikapata majibu lakini sikuridhika nayo,wengine wakadai mkasa wa chacha wangwe utamtoa mchezoni,wengine wakadai eti jamaa hana falsafa nzuri ya uandishi yeye huwa ni mzuri anapokuwa nyuma ya mic.

Nimeona nitupie hapa ili nifahamishwe kwaupana kwa wale wenye kumfahamu.
 
jf sasa sio tena the home of great thinkers bali the home of great mbururaz, hivi hii nayo ni hoja ya kujadili kweli? kukesha kwenye mitanao ya kijamii yawezekana sio interest yake, leta hoja madhubuti we vp bwana, ondoa huu uharo haraka
 
Nimejaribu kuuliza watu wengi kwamba kwanini Mwenyekiti wa Chadema hapatikani au ni nadra kumpata kwenye mitandao ya kijamii, ambayo imejaa wadau na wapenzi wengi wa siasa.

Nikapata majibu lakini sikuridhika nayo,wengine wakadai mkasa wa Chacha Wangwe utamtoa mchezoni,wengine wakadai eti jamaa hana falsafa nzuri ya uandishi yeye huwa ni mzuri anapokuwa nyuma ya Mic.

Nimeona nitupie hapa ili nifahamishwe kwaupana kwa wale wenye kumfahamu.

Mbowe ni Mwenyekiti wa CHADEMA kama walivyo Kikwete, Lipumba, John Cheyo, Mrema ambao ni wenyeviti katika vyama vyao je umeisha wahi kuuliza kwani nini Kikwete hapatikani kwenye mitandao ya kijamii? au ao wenyeviti wengine wa vyama vya siasa.
 
Huku Jf mnawitaji Mwenyekiti wa nini? Yupo Tumaini Makene, yupo Muhamed Mtoi, Yupo Ben Saanane, Mungi, Crashwise, Yericko Nyerere, Molemo,Chadema Kwanza, Standalone mimi Mwenyewe Mwanahabari Huru sasa nikitu gani metaka kujibiwa kikashindikana?
 
Nimejaribu kuuliza watu wengi kwamba kwanini Mwenyekiti wa Chadema hapatikani au ni nadra kumpata kwenye mitandao ya kijamii, ambayo imejaa wadau na wapenzi wengi wa siasa.

Nikapata majibu lakini sikuridhika nayo,wengine wakadai mkasa wa Chacha Wangwe utamtoa mchezoni,wengine wakadai eti jamaa hana falsafa nzuri ya uandishi yeye huwa ni mzuri anapokuwa nyuma ya Mic.

Nimeona nitupie hapa ili nifahamishwe kwaupana kwa wale wenye kumfahamu.
Unamtakia nini kwenye social media??
 
Back
Top Bottom