Kwanini Mbowe hapatikani kwenye mitandao ya kijamii?

tofyo

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
2,759
Reaction score
768
Nimejaribu kuuliza watu wengi kwamba kwanini Mwenyekiti wa Chadema hapatikani au ni nadra kumpata kwenye mitandao ya kijamii, ambayo imejaa wadau na wapenzi wengi wa siasa.

Nikapata majibu lakini sikuridhika nayo,wengine wakadai mkasa wa Chacha Wangwe utamtoa mchezoni,wengine wakadai eti jamaa hana falsafa nzuri ya uandishi yeye huwa ni mzuri anapokuwa nyuma ya Mic.

Nimeona nitupie hapa ili nifahamishwe kwaupana kwa wale wenye kumfahamu.
 
Yupo Bize Anajenga Chama-phisically ,Siyo Online kwa Key Board. au kama unamuhitajiMcheki wasapp. 0758723419 au. Email . emboye @ gmail.com.
 
Mitandao ya kijamii kama insta.... au FB hahaha then wakina Wema na Aunty wamfollow mhm hii ni shida mleta hoja.
 
haja zakitoto sana hivi kazi ya Hafisa habari niyanini kazi ya sisi wandishi huru niyanini? Kazi ya Molemo na Chadema Kwanza niyanini?
 
Mi sijaona mantiki ya kujadili mtu kuhusu yeye mbowe kutokuwa kwenye mitandao kwani siyo mhim kwake mtoa maada jiangalie sana mitandao ya kbongo haina weredi kila mtu anapost anacho josikia so ni mhim asiwepo
 
Nimejaribu kuuliza watu wengi kwamba kwanini Mwenyekiti wa Chadema hapatikani au ni nadra kumpata kwenye mitandao ya kijamii, ambayo imejaa wadau na wapenzi wengi wa siasa.

Nikapata majibu lakini sikuridhika nayo,wengine wakadai mkasa wa Chacha Wangwe utamtoa mchezoni,wengine wakadai eti jamaa hana falsafa nzuri ya uandishi yeye huwa ni mzuri anapokuwa nyuma ya Mic.

Nimeona nitupie hapa ili nifahamishwe kwaupana kwa wale wenye kumfahamu.

Kama una shida naye ofice iko wazi kwani huku kwenye mitandao ndio anakofanyia kazi? Mbowe ni wawatanzania wote zaidi ya asilimia75 ya watanzania hawajui wala hawatumii mitandao ya kijamii. Je kuna haja gani yayeye kuwepo humu.
 
Kinana namba nyingine huwezi kumlinganisha na ero mkuu.

Atakuwemo kwa ID Feki not verified...Gambazi wote huchota mawazo Jf,Kinana hawezi kwepa...Mbowe ni verified user humu but yupo field now
 
Mbowe uwezo wa kuandika wenyewe hana sijui kwenye mitandao ya kijamii ataandika nini.

Mbowe ana majukumu mengi ya kitaifa kwenye mitandao ya kijamii kamwachia katibu mwenezi wa ccm Nape ila yeye anapenda kuieneza chadema zaidi.
 
Sababu ya maana ni moja tu!

Wajasiria Mali hawashindi kubofya huku mitandaoni wako busy kutafuta wapi kutafuta hela!
Mbowe is natural enterpreneur so I don't see any problem.
Anzisha thread ya namna ya kupiga deals uone kama hata tua kama mwewe!!!
 
Mnahangaika sana kuifuatilia chadema...shauri yenu.
 
Nimejaribu kuuliza watu wengi kwamba kwanini Mwenyekiti wa Chadema hapatikani au ni nadra kumpata kwenye mitandao ya kijamii, ambayo imejaa wadau na wapenzi wengi wa siasa.

Nikapata majibu lakini sikuridhika nayo,wengine wakadai mkasa wa Chacha Wangwe utamtoa mchezoni,wengine wakadai eti jamaa hana falsafa nzuri ya uandishi yeye huwa ni mzuri anapokuwa nyuma ya Mic.

Nimeona nitupie hapa ili nifahamishwe kwaupana kwa wale wenye kumfahamu.

Hivyi kwel rafiki yangu umeamka umekwenda dukan umenunua vocha umepata mb zako 8 unaingi jf na kuanzisha uzi kama huu..mbona kuna meng sana ya kuuliza?
 
Mbowe ana majukumu mengi ya kitaifa kwenye mitandao ya kijamii kamwachia katibu mwenezi wa ccm Nape ila yeye anapenda kuieneza chadema zaidi.

Naskia hata jina la freeman alilipata form one baada ya kutumia jina la ndugu yake aliefaulu darasa la saba. Yy anaitwa ekaeli.
 
Nimejaribu kuuliza watu wengi kwamba kwanini Mwenyekiti wa Chadema hapatikani au ni nadra kumpata kwenye mitandao ya kijamii, ambayo imejaa wadau na wapenzi wengi wa siasa.

Nikapata majibu lakini sikuridhika nayo,wengine wakadai mkasa wa Chacha Wangwe utamtoa mchezoni,wengine wakadai eti jamaa hana falsafa nzuri ya uandishi yeye huwa ni mzuri anapokuwa nyuma ya Mic.

Nimeona nitupie hapa ili nifahamishwe kwaupana kwa wale wenye kumfahamu.

kikwete anapatikana kwenye mtandao gani
 
Mfano kuwa busy na kimwana J.MUKYA nchini Dubai wakifanya ufuska kwa Kodi ya wananchi!.

Ufuska unamfanya form 6 leaver DJ Mbowe kutokuwa na muda Wa kujifunza kutumia mitandao ya kijamii!

We ufuska umeona ishu? Wanasiasa wote ni mafuska tu.
Hata JK ana watoto wa nje ya ndoa zaidi ya 30
Kinana ndo kabisaaa anapapasa matiti ya wanawake hadharani
Mwigulu Nchemba alifumaniwa Igunga na mke wa mtu
Nape pamoja na kuwa na mke anazini na mtangazaji wa Channel ten
Akina Viki Kamata sina haja ya kuwaelezea
Kuna Mbunge wa CCM wa miaka 60 ametembea na kuzini na katoto ka miaka 22.
Niongeze?!
Usishangae ufuska kwa wanasiasa. Hata bosi wenu Zitto amezaa nje ya ndoa. Hata mama yako kama ni mwanasiasa usishangae ukimkuta na yeye ni FUSKA
 
Back
Top Bottom