Kwanini Mbeya waweze Mwanza mshindwe?

Shukran sana mkuu
 
Kwa kweli miji huwa inatofautiana sana. Kitu kingine ni daladala za mbeya ni coaster wakati Arusha na Tanga bado wako na mfumo wa hiace mjini. Pole sana kwa kuwa stuck huko Mwanza
Mbeya wataishinda kwa vitu vingine lakini kwenye suala usafiri wa daladala hakuna mkoa wa kufananisha,town bus ni Rosa tena bomba zote,ukija kwenda wilayani ni coaster pamba ambazo hata Dar hawana kiukweli hongereni mby kwa hilo!
 
Saizi kutoka Dar mpaka Tinde kuna usafiri wa Coaster za mchana na jioni zinaanzia Pugu Mnadani zinabeba wafanyabiashara wa ng'ombe na kwenda kufika asubuhi Tinde zinaenda na kurudi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…