Kwanini Mawaziri Wakuu wastaafu wanapenda Kuisifia sifia CHADEMA na wengine Wanahamia kabisa?

Ukweli hapa ni kuwa CHADEMA ni chama cha kikabila. Mtei, Msuya, Lowassa, Sumaye Mrema wote ni CCM wastaafu, ni wakabila walitumia rasilimali za Nchi kikabila kuendeleza sehemu zao. Iweje eneo liwe ni CHADEMA? Ni bahati mbaya? Nzuri? Au ni ukabila? Msuya ni CHADEMA tangiapo kikabila. Watajificha ukabila kusingizia CHADEMA.
 
Sema ukweli kuhusu Magu
 
Wanaoisifia sifia na hata kuhamia ni wa kutoka kanda hiyo hiyo hiyo.

Na pia CHADEMA wana sera nzuri za majukwaani na wajenga hoja wazuri hasa TL. Sema kosa kubwa walilofanya ni kumkaribisha yule waliyemwita "fisadi" namba moja kuja kuwa mgombea wao wa uraisi. Walipoteza credibility kidogo lakini they are back. TL is fireee!
 
WEWE ni mpumbavu sana, Lissu ni mchaga? Heche ni mchaga? Salim Mwaimu ni mchaga? Huo ukabila wa CHADEMA uko wapi Sasa wewe masaburii?
 
Wanaoisifia sifia na hata kuhamia ni wa kutoka kanda hiyo hiyo hiyo.

Na pia CHADEMA wana sera nzuri za majukwaani na wajenga hoja wazuri hasa TL. Sema kosa kubwa walilofanya ni kumkaribisha yule waliyemwita "fisadi" namba moja kuja kuwa mgombea wao wa uraisi. Walipoteza credibility kidogo lakini they are back. TL is fireee!
Bado unaishi kwenye past, tunamzungumzia muda huu wewe unatuambia story za alinacha
 
Mawaziri Wakuu wastaafu Mzee Warioba, mzee Msuya, Mzee Sumaye na Mzee Lowassa mara kadhaa wamekuwa wakiisifia Chadema kwamba ni Bora kuliko CCM

Tena Sumaye na Lowassa waliwahi kuhamia kabisa Chadema

Kuna Ukweli wowote Chadema ni Bora?

Au ni ile, Bora Chadema tu!

Muwe na Siku Njema
Acha wivu.
Huo ndiyo ukweli. Vinginevyo ccm itegemee dola kubaki juu, lakini siyo siasa.
 
Mawaziri Wakuu wastaafu Mzee Warioba, mzee Msuya, Mzee Sumaye na Mzee Lowassa mara kadhaa wamekuwa wakiisifia Chadema kwamba ni Bora kuliko CCM

Tena Sumaye na Lowassa waliwahi kuhamia kabisa Chadema

Kuna Ukweli wowote Chadema ni Bora?

Au ni ile, Bora Chadema tu!

Muwe na Siku Njema 😄
Wanawazuga kwasababu mnadanganyika kirahisi

Ironbutterfly vimba na upasuke
 
🤣🤣🤣usiwaite wazee hawapendi
Uzee mwisho mlandizi
Kujibu swali lako:may b wanajutia muda na waliyoyatenda
Mzungu anakwambia;if I could turn around the time...
 
Ukweli hapa ni kuwa CHADEMA ni chama cha kikabila. Mtei, Msuya, Lowassa, Sumaye Mrema wote ni CCM wastaafu, ni wakabila walitumia rasilimali za Nchi kikabila kuendeleza sehemu zao. Iweje eneo liwe ni CHADEMA? Ni bahati mbaya? Nzuri? Au ni ukabila? Msuya ni CHADEMA tangiapo kikabila. Watajificha ukabila kusingizia CHADEMA.
Ukabila, usultani na hata ufisadi uliopo ccm kwako ni takatifu !!

Tukiorodhesha humu hutakuwa na cha kujikomba na hata la kusema.
 
Chadema ni kama maji,usipo yanywa utayaoga
Wengine wanayatumia kuchambia

Angalieni tu mnatumikaje… you could be mnatumika kuosha pupu tu

Na that seems to be a correct assumption

Ile Kauli yenu ya kutaka dola inawacost… zamani mlikua mnataka demokrasia na mlikua vizuri sana, vijana wengi waliwaamini

Mlipoanza kutaka dola, mkaanza kugawana sana
 
Ni senior leader na niwa staafu. Wanajua madhambi ya serikali kuhusu kuikandamiza katiba na kubinya demokrasia. Sasa walipokuwa madarakani hawakuwa na nafasi ya kukemea maovu.

Kwahiyo kitendo cha kusifia upinzani ni kama ku REPENT mabaya waliyoshuhudia na kufanya.
Shida ni pale wanapojichanganya kutoka kundini(ccm) hujikuta wanabinywa na kupewa kash kash za kiuchumi na hatmae kuwa wapole tu.
 
Ukweli hapa ni kuwa CHADEMA ni chama cha kikabila. Mtei, Msuya, Lowassa, Sumaye Mrema wote ni CCM wastaafu, ni wakabila walitumia rasilimali za Nchi kikabila kuendeleza sehemu zao. Iweje eneo liwe ni CHADEMA? Ni bahati mbaya? Nzuri? Au ni ukabila? Msuya ni CHADEMA tangiapo kikabila. Watajificha ukabila kusingizia CHADEMA.
ccm ni chama cha waislam ndio maana mashehe ubwabwa wanaunga mkono kuuzwa bandar kisa waislam wenzao wameuza tena nashangaa wakristu walioko ccm wanafanya nini, maaka ukiwa na akili timamu huwez kuwa huko.
 
Mawaziri Wakuu wastaafu Mzee Warioba, mzee Msuya, Mzee Sumaye na Mzee Lowassa mara kadhaa wamekuwa wakiisifia Chadema kwamba ni Bora kuliko CCM

Tena Sumaye na Lowassa waliwahi kuhamia kabisa Chadema

Kuna Ukweli wowote Chadema ni Bora?

Au ni ile, Bora Chadema tu!

Muwe na Siku Njema 😄
1+1 =2. Mwenye akili timamu atauona ukweli huo usio na mashaka na kuukiri ukweli huo! Nyie wachumia tumbo wa CCM ambao brain zenu zimekuwa embedded in the large intestine/colon eg akina Kitila, kabudi na takataka zingine ndizo zinasema 1+1=3 ati natural mathematics
 
Ukweli hapa ni kuwa CHADEMA ni chama cha kikabila. Mtei, Msuya, Lowassa, Sumaye Mrema wote ni CCM wastaafu, ni wakabila walitumia rasilimali za Nchi kikabila kuendeleza sehemu zao. Iweje eneo liwe ni CHADEMA? Ni bahati mbaya? Nzuri? Au ni ukabila? Msuya ni CHADEMA tangiapo kikabila. Watajificha ukabila kusingizia CHADEMA.
Comment ya kipuuzi.

Mwalimu Nyerere pia aliwahi kuisifia CHADEMA, akisema kuwa amepitia katiba za vyama vya upinzani, na kusema kuwa ni CHADEMA pekee aliyoiona kuwa ina katiba nzuri.

Wakati huo chama cha upinzani kilichokuwa na nguvu zaidi kilikuwa NCCR.
 
Back
Top Bottom