Kwanini MASHOGA wengi hupenda kufunga Kifungo cha juu cha Shati?

Kwani kifungo cha juu/shingoni wewe unadhani kimantiki kipo kwa ajili gani hasa?
Tuanzie hapo kwanza.
 
Duuuuh tunaona mengi karne hii,kwa hiyo ukinikuta nimefunga kifungo cha mwisho nipo na msela utajua huyo ananila??? Kweli saivi kila unachofanya ni hatari,Mara utaambiwa Freemasonry au shoga, na kesho utakuja kusema mashoga wanapenda kukunja mikono ya shati!!!!!!!¡!!!!!!!!
 
Jamani mimi bado mgeni eti hao mashoga ndiyo madude gani?
Mashoga si marafiki!mi huwa namsikia wife anasema anaenda kumjulia hali shoga yake kama vile mimi nina maswahiba wangu au mba maana nyingine?
 
cristiano-4.jpg
 
Kama nikosa kufunga kifungo cha mwisho kiliwekwa cha nini? kwa nini na ww ukinunua mashati hukitowi?
 
Hivi kuna mausiano gani kati ya shoga na mwanamke? Mbona mashoga wengi hupenda kuiga rafudhi za kike na wengine hata kutembea wakati wanamatumizi tofauti
 
Sijasema nina experience nao isipokuwa kuna mtu aliwahi niambia hivyo, nami sikutaka kuamini moja kwa.moja...nikaingia Instagram nikasearch majina ya wale watu ambao za "vijiweni" na hata humu Jamiiforums zinasema wanajihusisha na Uchafu huo nikaangalia uvaaji wao wa mashati wengi nikakuta ndio uvaaji wao ni huo...
Kukusaidia unachosema hakina ukweli, hiyo ni fashion ambayo ilikuwa miaka ya nyuma sasa hivi imerudi tena, sawa na unavyoona sasa hivi uvaaji wa kaptula ambazo sio kubwa sana zinavaliwa na wanaume, pia ufugaji wa nywele nyingi na kukuta panki kama la shabaranks, kifupi fashion inaenda na kurudi..nikija kwenye swali lako hata hao mashoga wanavutiwa na fashion wapo wasiopenda kujiweka kama wanawake kwahiyo wanajaribu kwenda na fashion za kiume..usije ukakutana na mtu kafunga vifungo vyote ukasema shoga jihadhari..shoga kwa kumuangalia tabia zake anavyo jiweka na kuongea ni rahisi kumtambua..natumaini nimejaribu kukujibu kama yupo mwenye jibu zuri atajazia..
 
Habarini Wakubwa?

Binafsi sijawahi nivaapo Shati sijawahi kabisa kufunga vifungo vyote vya shati hasa cha shingoni pale, lakini cha ajabu nimewaona MASHOGA wengi wavaapo mashati hufunga vifungo vyote mpaka cha shingoni huwa sielewi wanaanisha nini au ndio moja ya Identity yao?
Cc Bhanunu kwa ufafanuzi zaidi..
 
Inaonekana hao watu ndio area yako of concentration!
Au mwenzetu una macho wengine woote vipofu!
 
Back
Top Bottom