Kwanini mashabiki wa CCM wanataka vurugu zitokee Kenya

Kwanini mashabiki wa CCM wanataka vurugu zitokee Kenya

Nashukuru kwamba wamekubali kiongozi waliyepangiwa na CHADEMA!
Mkuu wacha matusi yako, yaani wa Kenya wapangiwe kiongozi na chadema? Umewafanya wa Kenya ni mambumbumbu, hawawezi kujiamulia mabo yao wenyewe. Kwa taarifa yako Kenya hawakupewa uhuru wao kwenye kibakuli, walipigana walimwaga damu kujikomboa na ukoloni, vita vya maumau, usijifanyanishe na akili zenu za Lumumba zinazo ongozwa na matumbo yenu. Kiongozi akiwa madarakani mtampa sifa kama za malaika akiondoka anakuwa mchafu kama kinyesi. Baadhi yenu wa Lumumba mmediriki hata ku mponda hayati baba wa taifa Jk Nyerere. Sasa hivi mnajfanya kumpa sifa kibao za kimalaika mkulu aliyepo. Kama hizo sifa kweli anazo mbona hamkumtayarisha kugombea hiyo nafasi badala yake akaipata kwa dakika ya mwisho ki bahati bahati. Mkuu acha kuwadharau jirani zetu si uungwana.
 
Walitaka kuwapangia wakenya rais wa kubumba kama wetu wakenya wakakataa, sasa wanaombea vurugu zitokee ili waseme hakuna demokrasia Kenya, wakati leo mahakama inapokea rufaa zinazopinga matokeo ya uchaguzi wa marudio, ingekuwa Tanzania ukionekana unapinga leo kama sio kuwa Ukonga ungekuwa Muhimbili unauguza vidonda vya risasi.
Uko sahihi sana mkuu,haya ndio yale nguo za kijani hovyo kabisa kichwani si walimtaka yule mnubi wao ashinde lakini kaangukia pua,najitahidi sana kufuatilia siasa za kenya kupitia KTN news/Citizen tv jamaa wako mbali kwa maana ya demokrasia kule ukiapa kuilinda na kuitetea katiba wanamaanisha sio hapa.
 
Mkuu wacha matusi yako, yaani wa Kenya wapangiwe kiongozi na chadema? Umewafanya wa Kenya ni mambumbumbu, hawawezi kujiamulia mabo yao wenyewe. Kwa taarifa yako Kenya hawakupewa uhuru wao kwenye kibakuli, walipigana walimwaga damu kujikomboa na ukoloni, vita vya maumau, usijifanyanishe na akili zenu za Lumumba zinazo ongozwa na matumbo yenu. Kiongozi akiwa madarakani mtampa sifa kama za malaika akiondoka anakuwa mchafu kama kinyesi. Baadhi yenu wa Lumumba mmediriki hata ku mponda hayati baba wa taifa Jk Nyerere. Sasa hivi mnajfanya kumpa sifa kibao za kimalaika mkulu aliyepo. Kama hizo sifa kweli anazo mbona hamkumtayarisha kugombea hiyo nafasi badala yake akaipata kwa dakika ya mwisho ki bahati bahati. Mkuu acha kuwadharau jirani zetu si uungwana.
Matusi hapo ni yepi? yule aliyeanzisha uzi huu kwamba CCM wanataka vurugu zitokee Kenya, sio matusi? Na je, alisema ukweli au ni hisia zake tu na ambazo wenye mlengo huo wanazishabikia? na je, huo sio uchonganishi kati ya CCM (serikali) na wananchi wa Kenya?
 
Mkuu kuwaambia kuwa wamepangiwa kiongozi, huoni ni kuwatukana yaani wao hawana akili ya kufanya maamuzi yao wenyewe. Mtoa uzi kalaani aliyetoa habari za uzushi wa kifo cha mwenyekiti wa tume ya uchaguzi wa Kenya, hapo katukana nini? Labda unge kanusha kuwa huyo aliyetoa hizo habari za uwongo sio mwanachama wenu labda ningekuelewa , lakini badala yake umetoa statement ya kuwatukana wa Kenya.
 
Matusi hapo ni yepi? yule aliyeanzisha uzi huu kwamba CCM wanataka vurugu zitokee Kenya, sio matusi? Na je, alisema ukweli au ni hisia zake tu na ambazo wenye mlengo huo wanazishabikia? na je, huo sio uchonganishi kati ya CCM (serikali) na wananchi wa Kenya?
Unachotakiwa ni kumkemea mwanaCCM mwenzenu JINOME aliyeleta taarifa ya uongo na ya kijinga kabisa kumzushia mwenyekiti wa tume akilihusisha pia jeshi la polisi la Uganda huyo ndiye mchonganishi hatari nambari one.
 
Sikukariri ID yake lakini something like NINOME alisema Chebukati amekutwa ameuawa hotelini Uganda na polisi wamethibitisha alipokimbilia huko kujificha baada ya ku declared ushindi wa Uhuru Kenyatta, ni uongo wa hali ya juu sana, baada ya taarifa yake nikawasiliana na jamaa zangu wa Kenya wakasema hakuna kitu kama hicho. Member kama huyu ni sumu kali kwa JF.

Mtu ambaye hata hukumbuki ID yake kwa jinsi usivyo mfuatilia au kwa jinsi asivyo na jina humu JF utawezeje kumtumia kama heading ya kusemea Ccm?
Jipime uwezo wako wa kuelewa mambo kabla hujaleta mada huku....think twice think BIG!
 
Ameshajulikana ni JINOME mwanaCCM mwenzano unajingine.
 
Mimi sio mshabiki wa hivyo vyama vyenu huko Tz..
Ila ukweli inahitaji akili kidogo tu kuposti hoja yenye nguvu na sio porojo za kijiweni
By the way Chama ninacho kiunga mkono huku ni "Green Party"
 
Ndio maana kukawa na sheria za makosa ya kimtandao. Na ndio maana huwa nashangaa washiriki wa mitandaoni kuficha majina yao halisi na pia wenye mitandao kukataa kushirikiana na serikali katika kuwabaini watu wa namna hiyo!
Kama tutakubaliana kuwa huu ni uchonganishi na uwekaji rehani usalama na mahusiano ya nchi yetu na majirani, basi mzushi kama huyo ama aondolewe katika kushiriki kwenye mtandao huu au uzi wake huo uondolewe kwenye mtanda huu au kama serikali itamhitaji basi wenye mtandao huu wasimfiche!
Hata ukificha id wakikutaka wanakupata tu, huwezi jificha panapo technology
 
ccm ni mazombie wanywa damu za watu, za watanzania haziwatoshi sasa wanataka kunywa za wakenya
 
Cdm hamieni kabisa kenya kwa raisi wenu. Hata siasa hamzijui. Kajifunzeni siasa kwa baba, sio nyie msiojulikana kama ni chama cha siasa au kikundi cha wahalifu.
Baba wa vurugu Kenya aangukia pua wakenya wanamwambia alitaka half bread kwa kuanzisha vurugu sasa hata slice hawezi pata.
 
Back
Top Bottom