Baba yupi, au unasema Raila anayehamasisha vita vya ukabila nchini mwao, anayehamasisha wafuasi wake kususia huduma zinazotolewa na serikali ya Kenya, baba yupi au yule aliyeanzisha kikundi cha uasi NRM ku sabotage uchumi wa Kenya. Kama baba unayemsema ndiye huyo basi fahamu ndiye rafiki kipenzi cha mkulu wetu.Cdm hamieni kabisa kenya kwa raisi wenu. Hata siasa hamzijui. Kajifunzeni siasa kwa baba, sio nyie msiojulikana kama ni chama cha siasa au kikundi cha wahalifu.
walioingilia na kujihusisha na uchaguzi wa kenya zaidi ni Chadema,sasa CCM tunahusikaje??na unaposema hatufurahii umesahau Nape alimtakia ushindi Uhuru,umesahau January makamba alimtakia ushindi Uhuru na wengi wengine ndani ya CCM walimtakia ushindi Uhuru...hizo data zako za sisi kufurahishwa ama kutofurahishwa umezitoa wapi na umetumia kigezo gani labda??Waliopiga kura ni wakenya sio Chadema ila ajabu ni kwamba CCM hawafurahii ushindi wa Uhuru.
Mbona humu tunajuana? kwa mfano wewe ni LB7 huwezi kudanganya kuwa wewe ni CUF.Sasa hapo ni mwanajf au CCM??
Mnafanya generalization za kipuuuzi sana.....
Ni kweli aliyeyafanya ni mama yangu. Nitamuuliza!Zanzibar 2001,Mwembe yanga hayo mbona huyasemi au aliyafanya mama yako???
walioingilia na kujihusisha na uchaguzi wa kenya zaidi ni Chadema,sasa CCM tunahusikaje??na unaposema hatufurahii umesahau Nape alimtakia ushindi Uhuru,umesahau January makamba alimtakia ushindi Uhuru na wengi wengine ndani ya CCM walimtakia ushindi Uhuru...hizo data zako za sisi kufurahishwa ama kutofurahishwa umezitoa wapi na umetumia kigezo gani labda??
Hizo ni hisia tu! Eti, kwa kuwa CHADEMA wanamuunga mkono Uhuru basi ichukuliwe for granted kuwa CCM haifurahii ushindi wa Uhuru?Waliopiga kura ni wakenya sio Chadema ila ajabu ni kwamba CCM hawafurahii ushindi wa Uhuru.
Sasa inahusikaje na mada uliyoweka hapo??kwamba data zako ulichukulia jf ndo akaamua kusema CCM ndo wanaitakia kenya vita??upo sawa ndugu kwelii au ??Mbona humu tunajuana? kwa mfano wewe ni LB7 huwezi kudanganya kuwa wewe ni CUF.
inahusiana vipi na kuitakia vita kenya??mbona huna sababu za msingi wewe??
Na ulijuaje kwamba huyo aliyepost ni mwanaCCM kwa sababu humu watu wanatumia ID fake mtu anaweza kuwa mwana CHADEMA akaja na Uzi wakichokozi unaolenga kuchafua CCM . wakeSikukariri ID yake lakini something like NINOME alisema Chebukati amekutwa ameuawa hotelini Uganda na polisi wamethibitisha alipokimbilia huko kujificha baada ya ku declared ushindi wa Uhuru Kenyatta, ni uongo wa hali ya juu sana, baada ya taarifa yake nikawasiliana na jamaa zangu wa Kenya wakasema hakuna kitu kama hicho. Member kama huyu ni sumu kali kwa JF.
Na ulijuaje kwamba huyo aliyepost ni mwanaCCM kwa sababu humu watu wanatumia ID fake mtu anaweza kuwa mwana CHADEMA akaja na Uzi wakichokozi unaolenga kuchafua CCM . wakeSikukariri ID yake lakini something like NINOME alisema Chebukati amekutwa ameuawa hotelini Uganda na polisi wamethibitisha alipokimbilia huko kujificha baada ya ku declared ushindi wa Uhuru Kenyatta, ni uongo wa hali ya juu sana, baada ya taarifa yake nikawasiliana na jamaa zangu wa Kenya wakasema hakuna kitu kama hicho. Member kama huyu ni sumu kali kwa JF.
Unachotakiwa ni kuwaonya wanaCCM wenzako (jf members) walioshangilia post ya kijinga ya kumzushia mtu kifo tena kiongozi wa kitaifa, akaendelea kulizushia na jeshi la polisi la Uganda eti lime confirm kifo chake, ni mambo ya ajabu sana kuyatetea, kama na wewe unatetea ujinga huo basi ni vigumu sana kuwatofautisha mashabiki wa CCM.Sasa inahusikaje na mada uliyoweka hapo??kwamba data zako ulichukulia jf ndo akaamua kusema CCM ndo wanaitakia kenya vita??upo sawa ndugu kwelii au ??
ndio mimi ni CCM ulishawahi kuona nimeandika au kuitakia vita kenya??
Ya mwaka gani hii?
Kwa mfano unataka kutuambia [HASHTAG]#TataMadiba[/HASHTAG] ni CUF au [HASHTAG]#Mmawia[/HASHTAG] ni CCM mbona tunajuana labda kama umejiunga JF juzi.Na ulijuaje kwamba huyo aliyepost ni mwanaCCM kwa sababu humu watu wanatumia ID fake mtu anaweza kuwa mwana CHADEMA akaja na Uzi wakichokozi unaolenga kuchafua CCM . wake
Ulimi huumba na kutamka yale yaliyojaa moyoni! Haya iambie cdm ni lini waliwahi kufanya au kusababisha vurugu na au kupanga vurugu?Wapinzani wa Tanzania hasa cdm wanaipenda kenya kuliko nchi yao Tanzania. Wanapenda sana zitokee vurugu Tz.
Mwaka jana unasemaje.Ya mwaka gani hii?
Kulikua na uchaguzi Kenya?Mwaka jana.
CCM haina mashabiki bali inawanachama chadema ndio ina mashabiki
Uliiona hiyo post? au ni walewale tofauti IDs.HAKUNA Mtanzania yeyote anayetaka vurugu itokee Kenya wala Rwanda, Uganda, Burundi, Congo RDC, haya ni mawazo yako tu wewe mleta mada. Wacha siasa za uchochezi.