Ally Kombo
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 11,429
- 2,654
............Masha yupo bench, hana kazi. Lisu amuachie mwenzie ! au mmoja aende ccm ili wote wasiwe ukawa/chademaLau Masha na Lissu wote ni Ukawa /Chadema.
Wote wanagombea nafasi moja kwenye TLS.
Swali, Nani yupo kupunguza kura za wenzie? off course ni Masha.
Swali jingine, nini haswa meseji wanayotumiwa kambi ya Lissu?
Je vita ya uenyekiti ndio imeanza?
Je vita ya 2020 ndio imeanza?
Kosa linaenda kurudiwa tena safari hii?
Time will tell!