World is full of competition my dear. Hapa duniani kuna watu wanapumua haraka haraka ilimradi tu wenzao wawazidi hewa. Asubuhi wanafanya mazoezi ndo hapo hutumizia nia yao ovu. Hivi si ukae tu kawanda badala ya kumaliza hewa???
WAPINZANI WAPO KWA AJILI YA HAKI NDIYO MAANA WAMERUHUSIWA WOTE WAWILIPoor insight
Lau Masha na Lissu wote ni Ukawa /Chadema.
Wote wanagombea nafasi moja kwenye TLS.
Swali, Nani yupo kupunguza kura za wenzie? off course ni Masha.
Swali jingine, nini haswa meseji wanayotumiwa kambi ya Lissu?
Je vita ya uenyekiti ndio imeanza?
Je vita ya 2020 ndio imeanza?
Kosa linaenda kurudiwa tena safari hii?
Time will tell!
...Labda strategy ni kwamba at a certain level Masha atajitoa, who knows? But ni kweli kwamba walitakiwa waweke candidate mmoja anayekubalika.
SIASA SAFI ZIPO UPINZANI TU. HUKO KWENU NI TAKA TAKA TUPU KWAN ULIFIKIRI HUO NI UCHAGUZI WA JECHA?TLS inakwenda kuwa kichaka cha mabazazi yanayojiita wanasiasa
Bro nimejibu nilichoulizwa fuatilia mjadalaMkuu ndo umeandika nini! Heshim mawazo ya watu kama wao wanavyoheshim yako!!
WATENDA MAOVU WANASHANGAA SANA KUONA MASHA NA LISSU WANAGOMBEA NAFASI MOJALau Masha na Lissu wote ni Ukawa /Chadema.
Wote wanagombea nafasi moja kwenye TLS.
Swali, Nani yupo kupunguza kura za wenzie? off course ni Masha.
Swali jingine, nini haswa meseji wanayotumiwa kambi ya Lissu?
Je vita ya uenyekiti ndio imeanza?
Je vita ya 2020 ndio imeanza?
Kosa linaenda kurudiwa tena safari hii?
Time will tell!
wewe..huo sio uchaguzi wa CCM na CHADEMA
Uwe unatumia akili unapoandika
Mkuu naomba unieleweshe TLS na vyama bya siasa kuna kauhusiano?Lau Masha na Lissu wote ni Ukawa /Chadema.
Wote wanagombea nafasi moja kwenye TLS.
... Stupidest comment, hivi inahitajika akili ya GB kujua kwamba among voters kuna wanaomkubali Masha na pia Lissu? Je in absence of Masha huoni high possibility ya voters wake kumpa Lissu?Ninyi watu ndio wenye akili KB 1....Kwani huo ni uchaguzi wa vyama?
Achana na huyu TLS ni chama huru na hakiendeshwi kwa mrengo wa kisiasa. Anataka kutuaminisha kwamba mpambano ni kati ya CCM na ukawa Kitu ambacho si kweli.Mh, sasa ile dhana ya chama cha siasa kwenye huo uchaguzi inaanza kujidhihirisha!
... Well the game continues, as said earlier it is may be...What if hatojitoa?