Waterloo
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 25,651
- 39,751
Na CCM ni nani na nani wanapambana?Lau Masha na Lissu wote ni Ukawa /Chadema.
Wote wanagombea nafasi moja kwenye TLS.
Swali, Nani yupo kupunguza kura za wenzie? off course ni Masha.
Swali jingine, nini haswa meseji wanayotumiwa kambi ya Lissu?
Je vita ya uenyekiti ndio imeanza?
Je vita ya 2020 ndio imeanza?
Kosa linaenda kurudiwa tena safari hii?
Time will tell!