Kwanini Masha anataka kugawa kura za Lissu?

mr gentleman

JF-Expert Member
Aug 1, 2012
3,223
4,681
Lau Masha na Lissu wote ni Ukawa /Chadema.

Wote wanagombea nafasi moja kwenye TLS.

Swali, Nani yupo kupunguza kura za wenzie? off course ni Masha.

Swali jingine, nini haswa meseji wanayotumiwa kambi ya Lissu?

Je vita ya uenyekiti ndio imeanza?

Je vita ya 2020 ndio imeanza?

Kosa linaenda kurudiwa tena safari hii?

Time will tell!
 
ACHA UCHOCHEZI WEWE....
 
Uchaguzi Lazima uwe competitive. Lazima wawe wengi ili kama kushinda ashinde kweli

Sioni haja ya competition kwenye hili, wote tunajua Lissu hii ingekuwa platform nzuri sana kwake kujenga nguvu ya upinzani. Ila ulipo tupo nao wamejipanga vyema.
 
Namsapi Lissu lakini sikweli kwamba Masha kugombea kuna lengo la kugawa "kura za Lissu".

Mtazamo huo hauna tofauti yoyote na wale "wapuuzi" wengine wenye husisha mitazamo yao ta itikadi za kisiasa kuelekea uchaguzi wa TLS.
 
Sioni haja ya competition kwenye hili, wote tunajua Lissu hii ingekuwa platform nzuri sana kwake kujenga nguvu ya upinzani. Ila ulipo tupo nao wamejipanga vyema.
World is full of competition my dear. Hapa duniani kuna watu wanapumua haraka haraka ilimradi tu wenzao wawazidi hewa. Asubuhi wanafanya mazoezi ndo hapo hutumizia nia yao ovu. Hivi si ukae tu kawanda badala ya kumaliza hewa???
 
Lau Masha na Lissu wote ni Ukawa /Chadema.

Wote wanagombea nafasi moja kwenye TLS.

Swali, Nani yupo kupunguza kura za wenzie? off course ni Masha.

Swali jingine, nini haswa meseji wanayotumiwa kambi ya Lissu?

Je vita ya uenyekiti ndio imeanza?

Je vita ya 2020 ndio imeanza?

Kosa linaenda kurudiwa tena safari hii?

Time will tell!

Hivi CCM wako wangapi??Wako watatu,na wapiga kura 6000
 
Back
Top Bottom