Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Je haoini ni kuingia mtego kwamba watu walioathirika moja kwa moja wataonekana kuwa ni CHADEMA, which means inaweza kutumika against them baadae?Chadema ndio mwakilishi sahihi wa Watanzania. Heche na Lissu ndio watu wanaoaminika
Sijataja makundi, nimesema kama maridhiano ni matokeo ya Oktoba, je aliyeathirika oktoba ni nani? Chadema au wananchi? Je wananchi wale walikuwa CHADEMA? Au wananchi kwa ujumla regardless ya itikadi ya vyama?Hayo makundi mengine ukiacha cdm hawako tayari kulipa gharama ya kupata mabadiliko. Cdm ndio wamesimama kidete kwa zaidi ya miaka 15 wakitaka mabadiliko, kwa jasho na damu. Nyie makundi mengine jitajeni tuone msukumo wenye kwenye kupata mabadiliko.
Haitabadilisha ukweli kwa kukaribisha hisia tu zitawale mahitaji halisi.Walikataa kukubali matakwa ya CHADEMA kuelekea uchaguzi wa Oktoba 29,2025,wananchi wakaamua.Je haoini ni kuingia mtego kwamba watu walioathirika moja kwa moja wataonekana kuwa ni CHADEMA, which means inaweza kutumika against them baadae?
Sijakuelewa, tumia maneno mengineJe haoini ni kuingia mtego kwamba watu walioathirika moja kwa moja wataonekana kuwa ni CHADEMA, which means inaweza kutumika against them baadae?
Kwamba, CHADEMA ikiwa ni key discussant maana yake walioathirika na Oktoba ni CHADEMA. Maana yake baada ya maridhiano watasema walioandamana Oktoba ni CHADEMA. Na hiyo ikatumika against them.Sijakuelewa, tumia maneno mengine
Kwa taarifa yako kilichotokea hiyo October kama cdm wangekubali kushiriki uchaguzi ingekuwa ni business as usual. Hakuna wananchi bila muongozo toka sehemu fulani. Vinginevyo utaje hao wananchi walikuwa wapi hadi kusubiri siku ya uchaguzi tu ambao cdm walisema hautafanyika. Kama ni wananchi waambie hata sasa Wadai hayo mabadiliko kama kuna yoyote atajitokeza kuongoza hayo mapambano.Sijataja makundi, nimesema kama maridhiano ni matokeo ya Oktoba, je aliyeathirika oktoba ni nani? Chadema au wananchi? Je wananchi wale walikuwa CHADEMA? Au wananchi kwa ujumla regardless ya itikadi ya vyama?
Mtego upo wapo, CHADEMA walisema hawashiriki au walisema wataenda barabarani?Kwa taarifa yako kilichotokea hiyo October kama cdm wangekubali kushiriki uchaguzi ingekuwa ni business as usual. Hakuna wananchi bila muongozo toka sehemu fulani. Vinginevyo utaje hao wananchi walikuwa wapi hadi kusubiri siku ya uchaguzi tu ambao cdm walisema hautafanyika. Kama ni wananchi waambie hata sasa Wadai hayo mabadiliko kama kuna yoyote atajitokeza kuongoza hayo mapambano.
Walioathirika ni wananchi, na walioudhika na ule unyama ni wananchi. Hao wananchi wanaona watu pekee wanaoguswa na shida zao na wanaowaamini ni Chadema.Kwamba, CHADEMA ikiwa ni key discussant maana yake walioathirika na Oktoba ni CHADEMA. Maana yake baada ya maridhiano watasema walioandamana Oktoba ni CHADEMA. Na hiyo ikatumika against them.
Ndio chama kikuu cha siasa TanganyikaNeno maridhiano limeshika kasi kwa siku za hivi karibuni. Lakini mjadala upo zaidi kwa CHADEMA. Maswali niliyonayo ni nini kilitokea?
Chadema hawakushiriki uchaguzi, je watafanya maridhiano gani kama sio kuyafuata waliyohahitaji kabla ya uchaguzi?
Lakini kama maridhiano ni matokeo ya kilichotokea Octoba 2025, ni nani aliathirika? CHADEMA au wananchi? Je wananchi ni CHADEMA?
Moja ya point yangu ni kuwa kama tunaenda kwenye Maridhiano kwa kichotokea Oktoba kuna haja ya kuchukua watu ambao wana influence kwa wananchi lakini hawana ukaribu na chama cha siasa.
Lakini kama maridhiano ni ya kuingia kwenye uchaguzi bila CHADEMA basi ni kweli chadema ni wa kuangaliwa kwa uzuri. Hata hivyo kuona CHADEMA kama key katika hili ni kunasibisha na kilichotokea kuwa kilikuwa cha Chadema.
Naishia hapo.
Now you get my point, kwamba ni mtegoWalioathirika ni wananchi, na walioudhika na ule unyama ni wananchi. Hao wananchi wanaona watu pekee wanaoguswa na shida zao na wanaowaamini ni Chadema.
Hata baada ya hicho kikao cha jana maoni mengi ilikuwa kama Chadema haipo ni kama wanapoteza muda tu.
Kuhusu Chadema waliandamana au lah kwa propaganda unaweza kusema hivyo, ila kisheria na facts itakuwa hoja ya kijinga kwa sababu haithibitishi kama Chadema waliandamana
CDM ina ufuasi mkubwa sana alafu haina habari ya kupakwa mafuta kwa mgongo wa chipa.Neno maridhiano limeshika kasi kwa siku za hivi karibuni. Lakini mjadala upo zaidi kwa CHADEMA. Maswali niliyonayo ni nini kilitokea?
Chadema hawakushiriki uchaguzi, je watafanya maridhiano gani kama sio kuyafuata waliyohahitaji kabla ya uchaguzi?
Lakini kama maridhiano ni matokeo ya kilichotokea Octoba 2025, ni nani aliathirika? CHADEMA au wananchi? Je wananchi ni CHADEMA?
Moja ya point yangu ni kuwa kama tunaenda kwenye Maridhiano kwa kichotokea Oktoba kuna haja ya kuchukua watu ambao wana influence kwa wananchi lakini hawana ukaribu na chama cha siasa.
Lakini kama maridhiano ni ya kuingia kwenye uchaguzi bila CHADEMA basi ni kweli chadema ni wa kuangaliwa kwa uzuri. Hata hivyo kuona CHADEMA kama key katika hili ni kunasibisha na kilichotokea kuwa kilikuwa cha Chadema.
Naishia hapo.
Wewe mwenyewe unataka maridhiano ?Hayo makundi mengine ukiacha cdm hawako tayari kulipa gharama ya kupata mabadiliko. Cdm ndio wamesimama kidete kwa zaidi ya miaka 15 wakitaka mabadiliko, kwa jasho na damu. Nyie makundi mengine jitajeni tuone msukumo wenye kwenye kupata mabadiliko.
Sio kwamba tu walisema hawatashiriki, bali hata uchaguzi hautafanyika. Nitajie wananchi/kundi waliojitokeza hadharani kusema kuwa watazuia uchaguzi. Mnakaa kwa kujificha, wakijitoa muhanga wengine, na nyie mnajifanya mlikuwepo. Ndio maana nataka unitajie kundi lolote lililokuwa wazi kugomea uhuni zaidi ya cdm na kanisa Katoliki.Mtego upo wapo, CHADEMA walisema hawashiriki au walisema wataenda barabarani?