Kwanini marekani ni tajiri sana kuliko italia

Kwanini marekani ni tajiri sana kuliko italia

sijasema kila lilipo kanisa katoliki ni matajiri.
ila nimesema dini ilikuja kwa misingi ya utumwa na utumwa ni biashara na makao makuu ya kanisa la katoliki yapo italia inamaana wao ndio wanafuika wakuu wa hiyo biashara ya kanisa katoliki.
Kwa hyo point yako hapa unatak kusema kanisa Karoliki ndo walianzisha Utumwa
 
Mimi nafikiri ni uwekezaji wenye tija kwa muda fulani,ni kweli Italy ilijulikana kabla ya USA,ila ninahisi taifa fulan hapo ni nyonyaji kuliko lingine,sina elimu sana.
 
Mleta uzi zitofautishe nchi 2
1. Vatican city
2. Italy
Hizi ni nchi mbili tofauti zenye mamlaka kamili kila moja.
Papa akiwa ni rais wa nchi ya Vatican na kiongozi wa kanisa katoliki.
Sasa Italy na Sadaka inaingilianaje hapo?
mkuu mm nimesali kanisa katoliki na ninafahamu misingi yote ya sadaka.
kwa mfano sadaka.

ambazo zikikusanya zikitoka kwenye palokia zinapelekwa jimboni na zikitoka jimboni zinapelekwa jimbo kuu la mkoa na zikitoka hapo zinapelekwa jimbo kuu la kitaifa na zikitoka hapo zinapelekwa vatican ambako ndio yapo makao makuu ya kanisa katoliki.

na kama litatokea tatizo lolote kanisani inamaana zile sadaka hazihusiani kutatua hilo tatizo na ila
unapitishwa mchango mwingine.
 
Huwa nawasikia watu mara nyingi wakisema kuwa ጨፈደጠሰጨሰጨሰገገሰገሰሰሐገገገደጸሰጠጠጠጠጸሰጸሐጠኸገሰ
 
Na wakati huo inaonesha kanisa katoliki ni la kiserikali Na lazima niamini hivyo kwasabu nikipiga hesabu misingi yote ya kidini ilikuja kwa njia kiutumwa Na najua serikali ya italia kanisa la katoliki pale pana mkono wake Na inafaidika pakubwa.

Na kanisa katoliki duniani kote inawaumini billion 1.2 Na kila sadaka atakayo toa muumini popote pale duniani lazima % flani ifike italia.
Na wanasema hakuna nchi duniani yenye dhahabu nyingi kama italia kwasabu miaka ya nyuma watu walikuwa wakikusanya sadaka walikuwa wananunua dhahabu wanapeleka italia.
na ukiachana na hivyo kanisa katoliki bado wana wanahospitali mashule karibia dunia nzima.

Sasa najiuliza ni kwanini waitalia wasiwe ndio matajiri namba moja duniani?
China ni approximately tajiri kuliko Marekani lakini Wachina pia wanapenda kwenda Marekani

- Nigeria ina uchumi mkubwa kuliko Afrika Kusini lakini hata raisi wa South anapenda kuishi south
 
sijasema kila lilipo kanisa katoliki ni matajiri.
ila nimesema dini ilikuja kwa misingi ya utumwa na utumwa ni biashara na makao makuu ya kanisa la katoliki yapo italia inamaana wao ndio wanafuika wakuu wa hiyo biashara ya kanisa katoliki.
kakwambia nani kanisa katoliki lilileta utumwa afrika rudi kasome historia!..United Kingdom(UK)/British/Uingereza ndo ilikua na makoloni mengi duniani lakini Malkia wao ni wa dhehebu la Lutherani if am not wrong!!..
sikiliza ushauri nenda darasani upya USIBISHE NENDA SHULE!!..
 
Utumwa haukuletwa na Kanisa, pia Malkia wa UK ndiye mkuu wa Kanisa la Anglikana. Kwa nchi za ulaya Walutheri wengi wanapatikana Germany maana ndiko muhasisi wa dhehebu hilo alizaliwa.
 
Back
Top Bottom