hazole1
JF-Expert Member
- Jan 3, 2015
- 4,319
- 3,916
Na wakati huo inaonesha kanisa katoliki ni la kiserikali Na lazima niamini hivyo kwasabu nikipiga hesabu misingi yote ya kidini ilikuja kwa njia kiutumwa Na najua serikali ya italia kanisa la katoliki pale pana mkono wake Na inafaidika pakubwa.
Na kanisa katoliki duniani kote inawaumini billion 1.2 Na kila sadaka atakayo toa muumini popote pale duniani lazima % flani ifike italia.
Na wanasema hakuna nchi duniani yenye dhahabu nyingi kama italia kwasabu miaka ya nyuma watu walikuwa wakikusanya sadaka walikuwa wananunua dhahabu wanapeleka italia.
na ukiachana na hivyo kanisa katoliki bado wana wanahospitali mashule karibia dunia nzima.
Sasa najiuliza ni kwanini waitalia wasiwe ndio matajiri namba moja duniani?