Kwanini Marekani inachukiwa sana?

Sio Senegal tu vipi angekua huko Aabuni? Nimeuliza wataje mgeni yeyote anayefahamika aliyetoboa kwenye hizo nchi zao hawajataja jina hata moja mbaka sasa. Ni kiwanja tu mgeni ana level playing field sawa na mzawa dunia nzima.
 
Kiwanja ni Land of opportunities!
 
Chuki za kidini Amerika ikikosa nguvu Wakristo watachinjwa wote na waislamu
Nenda uarabuni huwezi pata mafanikio hata ya kuwa na mgahawa ukiwa nchi za magharibi ni juhudi yako tu. Nchi zinazo onewa zinamatatizo wanakula vya mmarekani wanagoma kulipa lazima uchapwe.
Dini ya Waarabu ina walakini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi zaidi ya Pumba uliwahi tembelea Nchigani yakiarabu Ambayo wasio waarabu hawamiliki hata Mgahawa !

Ama ulishindwa miliki sababu ya Umaskini wako tu MKUU ?!

Sent using My COVID-19
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…