Kwanini Marekani inachukiwa sana?

Ubabe Ndiyo unaosababisha wachukiwe, hebu angalia nchi Kama Canada, unaichukiaje wakati hainyanyasi nchi zingine? Marekani wao Ndiyo wanajifanya polisi wa dunia, Tena polisi wenyewe ni wale wa kuwabambika kesi raia wake Kama wa nchi Fulani hivi.
 
Kama wewe ungekuwa ni mkweli katika hi comment yako pia ungekusia tabia ya Marekani kuvamia nchi za kiarabu na kuiba mafuta mfano LIBYA, IRAQ na Quiet

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli mkuu marekani Kuna raia wengi wahamiaji wa kutoka Kila nchi na wanatendewa vizuri, tatizo ni jinsi inavyowatendea mataifa mengine, kwanini uungwana wao wanaowatendea raia wao wasizifanyie nchi zingine?
 
Wangekuwa wameshatutokomeza hawa ili waishi peke yao duniani
 
Kampuni ya Mmarekani au mzungu anaweza kumwajiri mtu bila kumuuliza dini yake bali Kampuni ya Mwarabu au muislamu anamuajiri mkristo basi hapo hana namna kakosa mtu wa kiislamu kutake cover
Nashangaa sijui kwanini waafrika wengi wanawapapatikia hawa. Ifikie kipindi wakitubagua nasi tuwabague wakija kwenye nchi zetu
 
Anaongea hivyo lakini bado anaishi na kufanya shughuli zake Marekani
 
Sija kataa lakini anacho ongea kina ukweli.

Hakuna nchi isiyokua na mapungufu ila wenzetu wamejitahidi sana. Wapo mbali mno kuliko unavyoweza kufikiri. Huyo Akon alikua kibaka akatupwa jela akatoka akafanya music mpaka sasa hivi ni famous na milionaire. Angekua kule Senegal angeweza kutoboa hivyo?
 
unahisi kwakipaji cha MUSIC ambacho AKON anacho Ulitaka Aende Akaimbie SAUDI ARABIA ama ulitaka ende KUWAIT ?!

mbna kunamambo wala sioyakufikirisha hapo BOSS kama hilo la AKON.



Sent using My COVID-19
 
WANAJITAHIDI KUFICHA MAPUNGUFU YAO ILI KULINDA IMAGE YA TAIFA LAO.So kuficha haimaanishi matatizo hayapo,yapo watu kibao wanakufa kwa ubaguzi wa rangi,bado kuna magenge kibao ya kihuni na wauza madawa ya kulevya wanauana kila siku.

Hamna mtu anayejua future ya mtu japokuwa kutoboa kwa Africa ni ngumu lakini haina mana kwamba kwa Africa kutoboa haiwezekani.
 
Pamoja na mapungufu yote uliyoelezea hapo bado America ni sehem ambayo unaweza kutoboa bila kujali rangi, kabila, dini au sehem uliyotoka.
 
Murua aisee umesomeka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wajinga tu ndo wanaichukia Marekani,anayemwabudu Lucifer awezaje kuwa na nguvu na mafanikio kuliko anayemwabudu Mungu? Marekani ndo nchi bora na yenye upendo kuliko Mataifa yote kwa sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unahisi kwakipaji cha MUSIC ambacho AKON anacho Ulitaka Aende Akaimbie SAUDI ARABIA ama ulitaka ende KUWAIT ?!

mbna kunamambo wala sioyakufikirisha hapo BOSS kama hilo la AKON.



Sent using My COVID-19
Hapana, angeenda huko angefulia mno, US ndo kinara wa burudani duniani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…